Jamani wanaume wasomi mna nini?

Jamani wanaume wasomi mna nini?

kuna wakina dada wanabahati mbaya wanakutana na wanaume ambao 'selfish' hiyo ni shida mnao...yaani mtu mimi, mimi, hela zangu, mimi nimesoma, magari yangu, mimi utaniambia nini nimesoma..ukidate na mtu wa mmimi, mimi, mimi,mimi kimbia ufe...


Umesema yaani bora uzeeke peke yako kwenye chumba chako kimoja , utakuwa na Amani kuliko hao wanaume wa hivyo
kila usemacho akili yako ndogo niko busy na deal zangu zinazomake sense ! ohoo ile gari yangu ream yake imenenepa , ohoo Account yangu wameifunga wanaichunguza inapesa nyingi wakati hata buku hatoi !
 
Hakuna Mapenzi Matamu kama ya kutoangalia na kujudge mwenzio kasoma mpaka kiwango gani , wewe kama umeshaamua kuwa naye , kuwa naye kama mke/mume , kama kunakitu unasaidia kwa msaada wa Elimu yako well fanya ila sio unafanya huku unamnyanyapaa mwenzio hajaenda shule ! Mke yake nyumba /usafi/kuhudumia Familia kunyoosha Misuli ya Baba na kumfariji Baba pale anapokwazika Mungu katutunukia hii , Mume wake Upendo na Kutunza Familia , Mengine yoooooote Mbwembwe tu za Duniani , kama wasomi Mashallah lakini hata wenye Elimu Ndogo wanafurahia Ndoa zao na zina Amani kuliko hao kutwa kurefer Mavitabu ndiyo muendeshe Maisha ....
 
heri mimi sijasoma hayo ma shaolin masters na ma kungfu phd hemed wa bongo muvi.....but swali la kizushi....hivi huko vyuoni huwa wanasomea pia mambo ya ndoa na jinsi ya kuishi na mke au mume wako? kama jibu ni hapana basi elimu mtaani ikianzia kwa wazazi waliokulea na,ikifuatiwa na ulimwengu ndio mama inareflect maisha ya wanandoa husika.

hivi hamujasikia mama anamnyanyasa baba kisa mama kasoma na anakipato kikubwa kuliko baba...ladies.
 
Well said dawa yao na we kumdharau phd profesa kama hela yako sion nenda kapange na hizo karata mfyuuuuu... phd makalio yake atumie hiyo phd kuingia labour pumbafu kabisa

Umeona eheee PHD hait**mb* vizuri , wala haiingizi Mwanamke labour , Unaweza kuwa na PHD na umejaaliwa Kibamia tu au Ngoma yako ---- mbili kwishney na ukadharaulika vile vile ...Houseboy akafanya Mambo na akaheshimika , Ndoa na Elimu ni kama Mafuta na Maji kamwe havichanganyiki ,
 
Umeona eheee PHD hait**mb* vizuri , wala haiingizi Mwanamke labour , Unaweza kuwa na PHD na umejaaliwa Kibamia tu au Ngoma yako ---- mbili kwishney na ukadharaulika vile vile ...Houseboy akafanya Mambo na akaheshimika , Ndoa na Elimu ni kama Mafuta na Maji kamwe havichanganyiki ,

Elimu kwenye ndoa ya nini hakuna kufanya hesabu wala kuandika imla kwenye ndoa.... angechanganya ndoa na pesa hapo ni mpapaso na kutiiiana
 
Maswala ya elimu na familia hayaingiliani hata kidogo.

Ukiwa ofisini uwe mwanataaluma au onyesha PHD yako huko, ukirudi nyumbani unakuwa baba.

Inabidi tujue na tuweze kutofautisha baadhi ya maswala hasa ndoa, elimu na biashara kwa wakati mmoja.

WORD! Nyumbani unakuwa Baba Vitoto vinakurukia kurukia vinakupaka mikojo, Vinakuvuta tai, mwenye kukuvua viatu haya wewe unachekacheka tu nyumba inajaa vicheko , Ukiingia chumbani Mama naye achezee sosage zako wewe unasikilizia tu , unawapa Familia Muda na wewe , usomi wako unauwacha nje ya ofisi yako huko , sio Baba Mkaliiii Watoto wanakuogopa Balaa ukifika na Laptop umenuna unaendelea na Planning/ Swot analysis nyumbani aku! Kwendraaaa na shule yako Babu we
 
Huyo mwenye hizo dharau atakuwa na tatizo binafsi na hata kuwa msomi wa phd au dr.

Ingawa hii tabia ipo kwa baadhi ya wenye level za MA tena kwa wale wafundishaji wa vyuo au wale wenye baadhi ya kozi flani,
Bali kwa wasomi wengi wenye Phd na dr wanakuwa na huruma na mapenzi kutokana na "professional ethics" zao, pia wanakuwa ni walezi wazuri mno na waelewa , wengi wao wanakuwa ni waalimu wazuri sana ambao wana uwezo wa ku "cope" na akili ya namna yetote na pia wana nguvu za ushawishi, ni watu wenye huruma na muda mwingi hawapendi kujitamba kwa vyeo vya elimu yake labda kwa kumsifia phd mwenzake, ni watu ambao lugha na kauli zao ni nyoofu na za kueleweka huwa hawa changanyi lugha na wakiongea wanapenda kutoa "citation" ba hata "reference"
Ni hayo tu.
 
Mahusiano mengi yanakosa raha sababu ya ubinafsi, kujiona mwenyewe kama ndio uko sahihi, kujiona kuwa bila wewe yeye hawezi ishi kamwe.
Huyu anachofanya ni ubinafsi na kujiona.
 
Nakwambia acha bibie mpaka kaloose weight chezea manyanyaso ya kauli wewe.. Anakula vizuri, analala vizuri, usafiri upo ila akimfikiria mumewe nguvu zinaishaa anakosa hata amani ya kumwambia mambo yanayomuhusu

Mungu wa siku hizi ni tofauti na Mungu wa zamani,Mungu wa siku hizi malipo ni hapahapa duniani.Ye si alisema atampeleka wapi wa digrii basi aendelee kuibeba hiyo PhD.Kwa maneno mengine wanawake punguzeni dharau.
 
Umeona eheee PHD hait**mb* vizuri , wala haiingizi Mwanamke labour , Unaweza kuwa na PHD na umejaaliwa Kibamia tu au Ngoma yako ---- mbili kwishney na ukadharaulika vile vile ...Houseboy akafanya Mambo na akaheshimika , Ndoa na Elimu ni kama Mafuta na Maji kamwe havichanganyiki ,

Duunh! !!!
 
Huwezi ukaongelea wanaume wote wenye masters na PhD kwa matatizo ya mtu mmoja ambaye ameshindwa kumsimamia mke wake na akaamua kutumia lugha chafu na dhalili kwa huyo mama. Kingine ni vyema ukapata na upande wa pili wa maelezo ya mume anayetuhumiwa ili upate picha kamili. Inawezekana huyo mama ana mchango pia kwenye matatizo yanayomkabili.
 
ki asili hata mkewe alikuwa na dharau ndo maana akutaka degree holder akataka level kubwa acha a face music

huyo mmewe atakuwa na madhaifu anayaficha kwenye elimu yake
 
Yaani dikembe nawaogopa wasomi mie akhu manyanyaso siyawezi.. Oooh mungu wangu Shoga angu ananitia simanzi

Kitendo cha huyo dada kupigia mashogaake simu kuwaeleza mambo ya ndani kinaonesha ni kiasi gani alivyo mke mzigo.
 
Last edited by a moderator:
sa kama amekosea asiambiwe, umeleta hasara kwenye biashara unataka nikubembeleze tena.... hiyo kitu haipo, tusipokuwa wakali mtatupanda kichwani, lazima upige biti ata kidogo!!! Ilitakiwa ampe na vibao hata viwili kabisa sio maneno matupu


SASA MAMBO YA KUTUKANANA KILAZA YAMETOKA WAPI ?
KAMA ALIONA ELIMU YAKE NDIO MALI ANGESOMA MPAKA MWISHO WA HIYO ELIMU NA ASIOE
YAANI MIJITU MINGINE NI SHIIIIDA
BANK INAPATA HASARA SEMBUSE BIASHARA YA FAMILY:angry: KWANI KUELEKEZANA VIZURI KUNA TATIZO GANI?
 
Uko sawa kabisa tinna cute kuna watu wachoyo na wabinafsi sana sema ndio unaweza gundua wakati mko mdani yaani yeye na kwao kwanza, mwenza na watoto baadae!!!!

Kuna jamaa fighter sana akaamua kumshirikisha mkewe kwenye shughuli zake akampa section moja aendeshe sasa wakipiga hesabu hakuna hasara ila faida ndogo sana inapatikana akimuuliza bibie majibu mepesi tu basi jamaa akaendelea nae mdogomdogo mwisho hasara ikaanza taratibu akiuliza majibu mepesi tu siku anakatiza mitaa ya mama mkwe wake anakuta canter linashusha masofa na mkewe yupo anasimamia zoezi. Akasalimia tu akapita! !!!!

Siku anamuuliza vipi siku hizi hatuongei kuhusu wazazi na mahitaji yao???!!!
Mke hana majibu!!

Sasa hapo jamaa angesema ile hasara imenunua masofa angelaumiwa kweli???!!

Maisha haya yana tabu sana hasa mambo ya kushirikiana,,,,,
Hii tabia inanichukiza sana ya mwanamke kuchukua pesa bila taarifa kuendeleza kwao ndo mana wanaume wengi wasiri unakuta ana biashara mke hajui!!!
 
Last edited by a moderator:
Jamani wanaume wasomi mna nini??

Waulize na wanaume walio oa wanawake wasomi wa kiwango hicho cha PhD, nao usishangae wanaswali kama hilo: Jamani wanawake wasomi mnanini?

Kiujumla, hiyo nitabia ya mtu binafsi; mtu mwenye tabia hiyo hata angekuwa na elimu ya kawaida lazima angekuwa msumbufu tu.

Si kila mwanaume mwenye PhD anaakisi tabia hiyo. Wapo wanaojitambua.
 
Umeamua kuja kunitangaza hapa, naenda kumfukuza kabisa leo
 
Hapo kwenye hasara sikubaliani na ww kabisa!!!!!"!!!!!!!! hasara nyng kwny vitega uchumi vya wanandoa inatokana na upande mmoja kuchota hela kwa matumizi binafsi yasiyohusisha hicho kitega uchumi ss hapo unategemea hasara ikosekane!!!!!!!!! afu kwako unaweza kuona kufilisika ni kawaida lkn si jambo dogo ss huyo kaka kawekeza badala ya faida ni hasara hata kama ni ww utachukulia poa .................. ndoa hii haina ushirikiano wa kufanya mambo kwa pamoja
Mimi sikatai..ila nlichangia kutokana na uzi ulivyo..kwamba jamaa anamtukana na kumkashifu mkewe kwa sababu ya hasara..kupachimba lazima pachimbike kama hasara ikitokea..ila panachimbikaje ndo shida..huwezi kumfundisha mke kwa kumtukana na kashfa..huwezi kumfundisha mke kwa kumwambia nisingekuoa ungeolewa na mwingine ungezaa watoto wenye mtindio wa ubongo..na si kwenye ndoa tu..sisi tuna shida kubwa sana ya namna ya kutatua matatizo mbali mbali ya kijamii..ndo maana jamii yetu imefika ilipofika na kukwama kwenye matope..mm naamini wasomi hasa kwenye ndoa they must talk and argue not to shout.
 
Back
Top Bottom