RealixT
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 1,599
- 2,868
Haha kiukweli wapo Ila sio wengi km kwetu wanaumeToka nizaliwe sijawahi kukutana na mwanamke anayenuka mdomo

Haha kiukweli wapo Ila sio wengi km kwetu wanaumeToka nizaliwe sijawahi kukutana na mwanamke anayenuka mdomo

Wanawake wengine wakivua chupi tu harufu ya kisamaki, ukimpiga mbuzi kagoma ni harufu ya puru. Unakuta mtoto wa kike ana jasho kwapani. Jamani mjipendeHata wanaume aiseh unakutwa mtu mchafu, kope na nyusi zimejaa ukoko.
Alafu ety anategemea amuombe pisi kali namba ampatie, mtaishia kusema mmerogwa.
Jamani tujipende.
usiombe ukutane nae aisee au anayependa kula😂😂Toka nizaliwe sijawahi kukutana na mwanamke anayenuka mdomo
Mjipende sana watoto wa kiume boxer mnavaa week nzima, masikio yamejaa uchafu, alafu matako yamejaa vipele vya uchafu na kutokupakwa mafuta😂😂😂😂😂😜😜😜😜Wanawake wengine wakivua chupi tu harufu ya kisamaki, ukimpiga mbuzi kagoma ni harufu ya puru. Unakuta mtoto wa kike ana jasho kwapani. Jamani mjipende
Hii inaitwa counter offensiveMjipende sana watoto wa kiume boxer mnavaa week nzima, masikio yamejaa uchafu, alafu matako yamejaa vipele vya uchafu na kutokupakwa mafuta😂😂😂😂😂😜😜😜😜
Mfue hizo chupi zenu sio mwanamke anavua kichupi chake kina alama za mavi na jasho, ukitaka kufyonza K unakuta inatema cha kusikitisha wengine vinuka mdomo. Usafi ni haiba ya mwanamkeMjipende sana watoto wa kiume boxer mnavaa week nzima, masikio yamejaa uchafu, alafu matako yamejaa vipele vya uchafu na kutokupakwa mafuta😂😂😂😂😂😜😜😜😜
Ila we jamaaa wanawake wanakunyima raha sana....your so bitter to women...kwanini lakini

Kweli kabisa mkuu 💯✔️Umeandika kwa hisia sana master. Tuwaone huruma ila watenge muda na gharama kidogo kama maji na sabuni kwa ajili ya usafi wa mwili.
Kabla hawajatoka wahakikishe wameweka mwili safi na wakirudi majumbani hivo hivo.
Tatizo stiresss zao.....
Na wewe kwa nini ulambe kusiko lambwa ukikuta chumvi imezidi unawakumlaumu?Mfue hizo chupi zenu sio mwanamke anavua kichupi chake kina alama za mavi na jasho, ukitaka kufyonza K unakuta inatema cha kusikitisha wengine vinuka mdomo. Usafi ni haiba ya mwanamke
Wasiwasi wakoHii inaitwa counter offensive
Ukute ananuka na hayo madude meusi anayovaaMbona unaangaika sana na huu uzi, umeguswa nini..?
Sio kuoga, ni kusafisha mashine.Habari,
Nakereka sana unakuta mtu unapishana na mwanamke ananuka jasho siyo kawaida, mtu ananuka kikwapa, harufu ya mikojo, ananuka nyapu, na harufu ya uvundo wa nywele pamoja na nguo zake.
Ukimuangalia miguuni na panapo kipochi manyoya ndiyo unachoka kabisa.
Mwingine anapuliza pafyum juu ya mwili mchafu na nguo alizorudia kuzivaa zenye majasho, mwingine anavaa nguo safi juu ya mwili mchafu na bado ananuka ila anajiona kang'aa, mnatupa shida sana sisi wanaume.
Mbaya zaidi apande daladala halafu asimame mbele yako huku wewe umekaa ndiyo utajua hujui.
Hata kama mwanamke ni choka mbaya epuka kutoa harufu ya uvundo.
NB: Kuwa msafi tuu, mwanamke msafi ni fahari ya mwanaume.
MAJI HAKUNA KWAO@timu MalelaHabari,