Jamani wafundisheni wanawake kuoga

Jamani wafundisheni wanawake kuoga

Habari,

Nakereka sana unakuta mtu unapishana na mwanamke ananuka jasho siyo kawaida, mtu ananuka kikwapa, harufu ya mikojo, ananuka nyapu, na harufu ya uvundo wa nywele pamoja na nguo zake.

Ukimuangalia miguuni na panapo kipochi manyoya ndiyo unachoka kabisa.

Mwingine anapuliza pafyum juu ya mwili mchafu na nguo alizorudia kuzivaa zenye majasho, mwingine anavaa nguo safi juu ya mwili mchafu na bado ananuka ila anajiona kang'aa, mnatupa shida sana sisi wanaume.

Mbaya zaidi apande daladala halafu asimame mbele yako huku wewe umekaa ndiyo utajua hujui.

Hata kama mwanamke ni choka mbaya epuka kutoa harufu ya uvundo.

NB: Kuwa msafi tuu, mwanamke msafi ni fahari ya mwanaume.

😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Wafundishwe na nani sasa.
 
Hiyo umenena mkuu sometimes unaweza kutana na mtu na mizuka yako Ile unazama chumvini unakutana na mchacho huo na mudi inakata hapo hapo .....

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Matokeo yake mnapata magonjwa ya zinaa kwa mambo ya kishenzi kama kuzama chumvini. Kijana badilika. Huo upumbavu ulioandika ni huzuni kwa wazazi wako
 
Back
Top Bottom