Kwanini wanawake wenye makalio makubwa wanajiamini sana kupita kiasi

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari..

Hivi ni kwanini wanawake wenye makalio makubwa wanajiamini sana na ni majasiri sana kupita kiasi..

Yani unakuta mwanamke anakalio kubwa na kakuvalia dera au kigauni cha ujiuji chepesi tena refu kumzidi alafu kalibebea kwa mbele na mkono mmoja ila unakuta hana akili ya maisha kabisa , hana future za kimaisha, mchafu mchafu na ananuka nyapu, hana hili wala lile yupo yupo tuu na wala kazi hana, tena unakuta ananuka jasho mara kikwapa kinatema, nywele zipo rafu na zimevunda yupo yupo hovyo ila kanajiamini sana kakiwa na wanaume tena anaringa kabisa, mbaya zaidi ukimvua unakuta chupi imechakaa imefubaa na imegina hapo kati kati.

Mbaya zaidi awe anakalio kubwa alafu mweupe au maji ya kunde na itokee umvue nguo mtoto tako , guu ,upaja ndo usiseme kiuno nyigu ila hakuna kitu ni gogo tuu hata romance hajui haelewi hata afanye nini .

Naitokee kwa bahati mbaya ukikuta akitembea njiani kajaliwa kulitingisha tingisha kama kikata upepo huku na huko na ukute ana guu la bia ndio kabisa yani anajiamini na maringo kibao..alafu una mzoom tuu unashindwa kama mwanaume umwambie ila unaona umsitiri tuu ujipigie kimnya but hajali chochote ..

Hii kujiamini mnakupata wapi.....
 
Kwa Sababu ni wengi wao ni zero brain.

Ni aghalabu Sana kumkuta Mwanamke mwenye msambwanda alafu kichwani ziwe zinachaji.
Ni kama wale wenye vichwa vidogo
 
Back
Top Bottom