Jamani wafundisheni wanawake kuoga

Jamani wafundisheni wanawake kuoga

Mkuu, chini ya jua kila kitu kinawezekana🤣🤣🤣 kwani kuna umbali gani kati ya hivyo viwili...? Mzuka ukiwepo hakuna kinachoshindikana..
Mkuu wewe ushatuacha hatua kadhaa mpaka hapo inaonesha huna kinyaa na kitu chochote ata panya unaweza kula Yani hata yule mwanamke mwenye sura ya baba ukikaa naye faragha gear inaumuka automatiki , maana kuna wenye sura za babu unaona hapa hata anivulie nitamwangalia kama naangalia TV tušŸ˜‚
 
Back
Top Bottom