Jamani wafundisheni wanawake kuoga

Jamani wafundisheni wanawake kuoga

Okay! satify her,but bare in your mind,impact yake kiafya ni kubwa.Baadhi yetu tunaogopaga kitu chenye impact ya hapohapo.Wengi hatuna utaratibu wa kucheki magonjwa,mfano kansa,ini n.k.,sisi huenda hospitalini,ugonjwa kumbe ushafikia stage mbaya, yawezekana kwasababu ya kutokua na bima au umaskini.Tujitahidi kuepuka magonjwa yanayoweza kuepukika.
 
Nitoe kwenye kundi la walalmikaji mkuu.

Sijawahi kukutana na kazi mbovu hata mara moja, unakutakana na ile natural scent ya K unatamani kazi isiishe.
😅😅😅😅😅 waaandamizi
 
Tatizo huna kazi ya kufanya. Huo muda wa hadi kujua harufu ya papuchi ya mtu unaupataje? Au ulisomea kunusa? Hizi nyuzi za kukashifu wanawake Moderator muwe mnazifuta.
Au ndio wewe Unasemwa? Mbona Umekuwa Mkali hivyo?
Ni kweli Kuna Muda ukipishana na Mdada anatoa harufu kama ngozi ya kondoo ilionyeshewa na mvua
Kuwaambia ukweli sio kuwa dhalilisha.
You are being too defensive kwa kigezo cha uanamke jisafisheni
Unakuta Dada ni bonge anaenda kuoga na maji ndoo ndogo!!!
Toka lini tembo akaogeshwa kwa kikombe?
 
Ndugu waonee huruma hao wanawake baadhi yao huamka saa 9 usiku anawahi sokoni buguruni kununua matunda saa 2 asubuhi anaanza kuranda mitaa kutafuta wateja mpaka jioni akirudi kwake jioni anaanza kuwahudumia watoto na mme wake unaweza kuta Ni dereva wa daladala ,mme anarudi home choka mbaya hata kugundua mkewe hajaoga kutwa anashindwa .

Huyo mwanamke atalala masaa machache saa 9 anaamka tena mume nae anamka nae saa 9 kuwahi kazini kwake kuamsha daladala yake .

Wadada kama hawa Mimi nikutana nao hasa hao ma hustler nawaheshimu sana ,lakoni kwa wadada wanaodanga halafu unamkuta mchafu ananuka hao hawasiki na mada yangu hao mwili mtaji watajijua na hali zao
Kama hii Ingekuwa ndio sababu, hebu vuta picha Hao wangekuwa wanahemea samaki pale kivukoni!!
Kuna wamama wanafanya kazi kwenye minada ya samaki lakini ukikaa nae huwezi kusikia harufu hata kidogo
Anahemea samaki
Anaparua
Anakaanga
Na bado ni msafi kinoma
 
Ndugu waonee huruma hao wanawake baadhi yao huamka saa 9 usiku anawahi sokoni buguruni kununua matunda saa 2 asubuhi anaanza kuranda mitaa kutafuta wateja mpaka jioni akirudi kwake jioni anaanza kuwahudumia watoto na mme wake unaweza kuta Ni dereva wa daladala ,mme anarudi home choka mbaya hata kugundua mkewe hajaoga kutwa anashindwa .

Huyo mwanamke atalala masaa machache saa 9 anaamka tena mume nae anamka nae saa 9 kuwahi kazini kwake kuamsha daladala yake .

Wadada kama hawa Mimi nikutana nao hasa hao ma hustler nawaheshimu sana ,lakoni kwa wadada wanaodanga halafu unamkuta mchafu ananuka hao hawasiki na mada yangu hao mwili mtaji watajijua na hali zao
Umeandika kwa hisia sana master. Tuwaone huruma ila watenge muda na gharama kidogo kama maji na sabuni kwa ajili ya usafi wa mwili.

Kabla hawajatoka wahakikishe wameweka mwili safi na wakirudi majumbani hivo hivo.
Tatizo stiresss zao.....
 
Au ndio wewe Unasemwa? Mbona Umekuwa Mkali hivyo?
Ni kweli Kuna Muda ukipishana na Mdada anatoa harufu kama ngozi ya kondoo ilionyeshewa na mvua
Kuwaambia ukweli sio kuwa dhalilisha.
You are being too defensive kwa kigezo cha uanamke jisafisheni
Unakuta Dada ni bonge anaenda kuoga na maji ndoo ndogo!!!
Toka lini tembo akaogeshwa kwa kikombe?
Wewe mpumbavu unaweza kusema huu ukweli mbele ya mama yako? Kama huwezi kaa kimya. Vijana mmekuwa na mambo ya kingese sana siku hizi.
 
Habari,

Nakereka sana unakuta mtu unapishana na mwanamke ananuka jasho siyo kawaida, mtu ananuka kikwapa, harufu ya mikojo, ananuka nyapu, na harufu ya uvundo wa nywele pamoja na nguo zake.

Ukimuangalia miguuni na panapo kipochi manyoya ndiyo unachoka kabisa.

Mwingine anapuliza pafyum juu ya mwili mchafu na nguo alizorudia kuzivaa zenye majasho, mwingine anavaa nguo safi juu ya mwili mchafu na bado ananuka ila anajiona kang'aa, mnatupa shida sana sisi wanaume.

Mbaya zaidi apande daladala halafu asimame mbele yako huku wewe umekaa ndiyo utajua hujui.

Hata kama mwanamke ni choka mbaya epuka kutoa harufu ya uvundo.

NB: Kuwa msafi tuu, mwanamke msafi ni fahari ya mwanaume.
Ila kuna wanawake wana jasho Fulani amazing snaaa mkuu, kwa mwanaume aliyekamilika ukiliskia lile unahamasika kwakweli it gives you power ...
 
Back
Top Bottom