Jamani wafundisheni wanawake kuoga

Jamani wafundisheni wanawake kuoga

Kuna ile mwanamke akivua nguo au chupi anatoa harufu ya uvundo mkali sana nyumba nzima hivi ile harufu wao hawaisikii , maana nikali sana.?
 
Habari,

Nakereka sana unakuta mtu unapishana na mwanamke ananuka jasho siyo kawaida, mtu ananuka kikwapa, harufu ya mikojo, ananuka nyapu, na harufu ya uvundo wa nywele pamoja na nguo zake.

Ukimuangalia miguuni na panapo kipochi manyoya ndiyo unachoka kabisa.

Mwingine anapuliza pafyum juu ya mwili mchafu na nguo alizorudia kuzivaa zenye majasho, mwingine anavaa nguo safi juu ya mwili mchafu na bado ananuka ila anajiona kang'aa, mnatupa shida sana sisi wanaume.

Mbaya zaidi apande daladala halafu asimame mbele yako huku wewe umekaa ndiyo utajua hujui.

Hata kama mwanamke ni choka mbaya epuka kutoa harufu ya uvundo.

NB: Kuwa msafi tuu, mwanamke msafi ni fahari ya mwanaume.
Hao wengi wao ni wagalatia. Wale wengine maadili ya dini yanawabana usafi wa mwili kila wakati ila kwa wagalatia ni balaa unakuta pisikali imenyooka ila ndovile tena
 
.....Ukimuangalia miguuni na panapo kipochi manyoya ndiyo unachoka kabisa ..... Mwanaume unapata wapi muda wa kwenda angalia manyoyaaa
 
Habari,

Nakereka sana unakuta mtu unapishana na mwanamke ananuka jasho siyo kawaida, mtu ananuka kikwapa, harufu ya mikojo, ananuka nyapu, na harufu ya uvundo wa nywele pamoja na nguo zake.

Ukimuangalia miguuni na panapo kipochi manyoya ndiyo unachoka kabisa.

Mwingine anapuliza pafyum juu ya mwili mchafu na nguo alizorudia kuzivaa zenye majasho, mwingine anavaa nguo safi juu ya mwili mchafu na bado ananuka ila anajiona kang'aa, mnatupa shida sana sisi wanaume.

Mbaya zaidi apande daladala halafu asimame mbele yako huku wewe umekaa ndiyo utajua hujui.

Hata kama mwanamke ni choka mbaya epuka kutoa harufu ya uvundo.

NB: Kuwa msafi tuu, mwanamke msafi ni fahari ya mwanaume.
Hao wanawake wa Buza, Tandale na Manzese watakuumiza kichwa mkuu. Hamia Masaki au Osterbay.
 
Back
Top Bottom