Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,976
😂😂😂eeeh. Yaani kuna wakati nasema.... au basi😂unakonyeza konyeza😂
😂😂😂eeeh. Yaani kuna wakati nasema.... au basi😂unakonyeza konyeza😂
Dah, hatari sana...🤪😂😂😂eeeh. Yaani kuna wakati nasema.... au basi😂
sema tu usiogope😂😂😂😂eeeh. Yaani kuna wakati nasema.... au basi😂
Nikadhani ulienda Cuba kupata degree yako mkuu!!sema tu usiogope😂
code zingine hazifunguki aisee😂Nikadhani ulienda Cuba kupata degree yako mkuu!!
Ni wa Mkoani hao sio wa DarHabari,
Nakereka sana unakuta mtu unapishana na mwanamke ananuka jasho siyo kawaida, mtu ananuka kikwapa, harufu ya mikojo, ananuka nyapu, na harufu ya uvundo wa nywele pamoja na nguo zake.
Ukimuangalia miguuni na panapo kipochi manyoya ndiyo unachoka kabisa.
Mwingine anapuliza pafyum juu ya mwili mchafu na nguo alizorudia kuzivaa zenye majasho, mwingine anavaa nguo safi juu ya mwili mchafu na bado ananuka ila anajiona kang'aa, mnatupa shida sana sisi wanaume.
Mbaya zaidi apande daladala halafu asimame mbele yako huku wewe umekaa ndiyo utajua hujui.
Hata kama mwanamke ni choka mbaya epuka kutoa harufu ya uvundo.
NB: Kuwa msafi tuu, mwanamke msafi ni fahari ya mwanaume.
😂😂😂Dah, hatari sana...🤪
Nalala😌sema tu usiogope😂
Ningekupa homework ya kuniamsha saa 11 ila umezinguasema tu usiogope😂
usingizi hauji sio🤣Ningekupa homework ya kuniamsha saa 11 ila umezingua
Yaani naona kila nikijigeuza sipati kituusingizi hauji sio🤣
pole sana.... lishakua tatizoYaani naona kila nikijigeuza sipati kitu
Sana aisee, ningekuwa natandika mitungi ningeacha inichape nilale.pole sana.... lishakua tatizo
kutandika mitungi ndo niniSana aisee, ningekuwa natandika mitungi ningeacha inichape nilale.
Kilevi😂kutandika mitungi ndo nini
au unalalaga mchana?Kilevi😂
Mara chache sana, leo nimelala kidogo mno.au unalalaga mchana?
karibu tukeshe au kesho una mikaziMara chache sana, leo nimelala kidogo mno.
Sina ila najionea huruma tu aiseekaribu tukeshe au kesho una mikazi