Jamani wafundisheni wanawake kuoga

Jamani wafundisheni wanawake kuoga

Tatizo huna kazi ya kufanya. Huo muda wa hadi kujua harufu ya papuchi ya mtu unaupataje? Au ulisomea kunusa? Hizi nyuzi za kukashifu wanawake Moderator muwe mnazifuta.
Ni sahihi sasa kumekuwa na nyuzi nyingi za kutweza utu wa mwanamke. Paw , Moderator jaribuni kucontrol hizi nyuzi zinazoweza utu wa mama, Dada, wake, shangazi na rafiki zetu.
 
Back
Top Bottom