Jamani, uzuri wangu hadi sijipendi

Jamani, uzuri wangu hadi sijipendi

we wa njiro kontena,FFU,maeneo ya stendi au wapi?
 
wana jf naombeni ushauri yanikila nkipita psiiii psiiii hata nkiwa nadive na wnaonsumbua wame za watu kisa figa na uzuri
nifanyaje

Jaribu kwa njia zozote uzijuazo,kuniaminisha kuwa wewe wawavutia wanaume wengi... Maana sikuoni...

Jaribu...
 
wana jf naombeni ushauri yanikila nkipita psiiii psiiii hata nkiwa nadive na wnaonsumbua wame za watu kisa figa na uzuri
nifanyaje

I'm sure u look cheap na muonekano wa ukicheche ndo maana!madem classic siku zote hufuatwa na wanaume classic ambao hawaiti psssssss bali hufuata kwa gentlemen approach!inaonekana wanaokutamani ni madereva taxi,makonda na watu wa masokoni ndo wenye desturi ya kuita hivyo!!!
 
Vaa mavazi ya heshima achana na kuvaa mavazi ya mitego. Pia watakapokufanyia psiiiii jaribu kuwa mkali na ikiwezekana watolee tusi kali. Ukiwachekea wanakuzoea. Fanya hivyo kwa wiki then utaniambia.
 
mkiitwa nongwa msipoitwa nongwa hv mfanyiwe nin muache kulaumu.
 
I'm sure u look cheap na muonekano wa ukicheche ndo maana!madem classic siku zote hufuatwa na wanaume classic ambao hawaiti psssssss bali hufuata kwa gentlemen approach!inaonekana wanaokutamani ni madereva taxi,makonda na watu wa masokoni ndo wenye desturi ya kuita hivyo!!!

Ongezea wabeba zege,makuli,wachaukucha,wafagia barabara,wakati majani ya ng'ombe,mahouse boy,wazibua m**i,wachimba mitaro,wauza madafu,beba beba miatano eh eh miatano etc
 
ivi ayo ya psiii bado yapo? Aisee, saijasikia wala kuona miaka mingi sn
 
Ushauri wa bure !
Achana na hao wamitaani, bora uwabariki ama uwagaie mamembers wenzako wa Jf
Mi naomba niwawakilishe wana JF kumpunguzia kero huyu binti...Tracy ijumaa naomba tukutane pale njiro complex saa 12 jioni
 
una uzuri gani wewe wakati ma@vi yako yananuka hadi we mwenyewe unafunika pua.kunya keki

hahahaha umenikumbusha msemo nliupata kwenye movie "if you're nervous on your first meeting with someone remember you're all using the washroom the same way!"
 
hahahaha umenikumbusha msemo nliupata kwenye movie "if you're nervous on your first meeting with someone remember you're all using the washroom the same way!"

Teh teh kaazi kweli kweli
 
Vaa baibui ikishindika kuna dawa moja ya kupunguza unene yenyewe huuzwa kwenye kidumu kidogo hivi. Ukipiga dozi ya wiki hivi utajikuta unakuwa kama ka mnazi hivi ila angalizo choo chako kisiwe cha kushare maana kila dakika lazima uripoti full muharisho
 
Ongezea wabeba zege,makuli,wachaukucha,wafagia barabara,wakati majani ya ng'ombe,mahouse boy,wazibua m**i,wachimba mitaro,wauza madafu,beba beba miatano eh eh miatano etc
Umesahau wachimba chumvi, wauza magazeti na wabeba mkaa ahahaaaaa.....
 
Back
Top Bottom