Jamani TBC hii ni sawa kweli?

Dah, huwa nakerekwa sana pale Shaa anaposema "ninapokuwa katika siku zangu", kwanza huwa naona kinyaa, pili wakati mwingine ndio hivyo tupo sebuleni tunaangalia taarifa ya habari yaani siangalii habari ya 2usiku Kupitia TBC kama kunamchanganyiko wa kifamilia.

Kuna siku mwanao atauliza dady/mummy siku zake ndo zipi au ile kitu ile inawekwa wapi mbele ya wageni
 
Dah, huwa nakerekwa sana pale Shaa anaposema "ninapokuwa katika siku zangu", kwanza huwa naona kinyaa, pili wakati mwingine ndio hivyo tupo sebuleni tunaangalia taarifa ya habari yaani siangalii habari ya 2usiku Kupitia TBC kama kunamchanganyiko wa kifamilia.

Ipo siku mwanao ni lazima atauliza hizo siku zake ni zipi tofauti na anazozijua yeye
na je ile kitu inawekwa wapi ile wanayoonyesha pale
 
Lile ni tangazo la biashara, na dhumuni lao ni kwamba lipate airtime na watu walione, so wanajua wakati wa taarifa ya habari watu wengi wanakuwa kando ya TV zao xo ni muda muafaka wakulipelela hewani ili weng wao walione, muhimu ni kwa mzazi kuwa karibu na remotecontrol ili kubadilisha chaneli kila picha mbaya unapohic inaonekana,

zamani walikuwa wanarusha lile la"NAKUPENDA MPENZI WANGU,NAKUPENDA KWA VITENDO" jamaa anamfunika mpenz wake na koti wanaishia kitandani, kweli haijakaa poa sana hii
 
na watoto waliozaliwa kipindi JAKAYA yupo madarakani wadadisi hao, hawapitwi na jambo..
 
Lile ni tangazo la biashara, na dhumuni lao ni kwamba lipate airtime na watu walione, so wanajua wakati wa taarifa ya habari watu wengi wanakuwa kando ya TV zao xo ni muda muafaka wakulipelela hewani ili weng wao walione, muhimu ni kwa mzazi kuwa karibu na remotecontrol ili kubadilisha chaneli kila picha mbaya unapohic inaonekana,

zamani walikuwa wanarusha lile la"NAKUPENDA MPENZI WANGU,NAKUPENDA KWA VITENDO" jamaa anamfunika mpenz wake na koti wanaishia kitandani, kweli haijakaa poa sana hii

Sio matangazo ya biashara tuu na hizi tamthilia zinazoonyeshwa mchana na picha za kinigeria zinazoonyeshwa mchana kweupe
Nazo zinawekwa ili watu waone au ni nini
La muhimu sio kuonekana kwa tangazo ila ni muda gani wanaweka vipindi vyao ambavo vina element za mapenzi wazi wazi
We imagine umekaa sebuleni mara mtoto wako akabadilisha channel unakutana na tamthilia ya mwanaume amekumbatia mwanamke na wanapigana kiss na mara wanapelekana kitandani
Kile kitendo wewe unaona ni sawa kuonyteshwa mchana au mapema kweupe
 
Kweli inabidi kuwa makini sana na kuwa karibu nao kila wakati kujua hata ule muda ambao hukuw anyumbani ni nini walichhokiona kwenye media naamini huwezi kupingana na ukweli ila inabidi kuwa makini na kila linaloendelea kwa mtoto

Naamini kila mzazi anelewa jinsi ya kumfuatila mwanae... sema tu na majukumu yamekua mengi saana sometimes vitu vingine vinakupita na watoto kujilea wenyewe...
 
Ni kweli hna nakubaliana na wewe
Majukumu yamekuwa mengi na inafikia unarudi home unajikuta umechoka huna hata hamu ya kukaa nao uongee nao hata ujue what happen to them kwa siku nzima
Ila ni muhimu sana sana kukaa na kujua mwanao ni nini amejifunza kwa siku nzima na ameona nini kwa siku nzima
 
Ni kweli hna nakubaliana na wewe
Majukumu yamekuwa mengi na inafikia unarudi home unajikuta umechoka huna hata hamu ya kukaa nao uongee nao hata ujue what happen to them kwa siku nzima Ila ni muhimu sana sana kukaa na kujua mwanao ni nini amejifunza kwa siku nzima na ameona nini kwa siku nzima

Naona as time goes on ni muhimu kukumbushana.... hamna jinsi nje ya hapo,
na thou twalega sometimes... naamini when it matters most we are there for them.
 
Sio matangazo ya biashara tuu na hizi tamthilia zinazoonyeshwa mchana na picha za kinigeria zinazoonyeshwa mchana kweupe
Nazo zinawekwa ili watu waone au ni nini
La muhimu sio kuonekana kwa tangazo ila ni muda gani wanaweka vipindi vyao ambavo vina element za mapenzi wazi wazi
We imagine umekaa sebuleni mara mtoto wako akabadilisha channel unakutana na tamthilia ya mwanaume amekumbatia mwanamke na wanapigana kiss na mara wanapelekana kitandani
Kile kitendo wewe unaona ni sawa kuonyteshwa mchana au mapema kweupe

Ile inakuwa haijakaa poa sana, afu nyumba zetu hizi DSTV available mchana wanashinda watoto home wanaangalia chaneli karibu zote, usiku ukirudi anakusanifu tu unapo badili chanel eti wanaonesha pic mbaya..
 
Naona as time goes on ni muhimu kukumbushana.... hamna jinsi nje ya hapo,
na thou twalega sometimes... naamini when it matters most we are there for them.

Your are right dear
We need to be there for them depite kwamba tuko so busy kusaka noti ila twapaswa kuwa na nafasi ya kukaa nao na kutafakari mazuri ya siku hiyo na mabaya pia
Kuwapa moyo na kuwaonya pale ambapo kuna kitu kibaya wanakiongea
Bila hivyo hii issue ya kuwaachia wasaidizi wa nyumbani itatucost sana
 
Ile inakuwa haijakaa poa sana, afu nyumba zetu hizi DSTV available mchana wanashinda watoto home wanaangalia chaneli karibu zote, usiku ukirudi anakusanifu tu unapo badili chanel eti wanaonesha pic mbaya..

Hii huduma nishaitoa nyumbani kwangu
Maana niliweka mpaka parental guidance ila kuna mjanja wa pale nyumbani kagundua pasword
nikaamua kuacha kabisa kulipia mpaka nitakapoona kuna umuhimu huo
Inaninyima hata raha ya kuangalia mpira ila bora iwe hivyo kwa ajili ya watoto
 
Your are right dear
We need to be there for them depite kwamba tuko so busy kusaka noti ila twapaswa kuwa na nafasi ya kukaa nao na kutafakari mazuri ya siku hiyo na mabaya pia
Kuwapa moyo na kuwaonya pale ambapo kuna kitu kibaya wanakiongea
Bila hivyo hii issue ya kuwaachia wasaidizi wa nyumbani itatucost sana

Naelewa R' but it is easier to say than kutenda.... Inachanganya but ndo hivo you just try your best.
 
mtoto akishakuwa na ufahamu ambiwe kila kitu usimfiche,
tujiulize watoto wa wenzetu wanafundishwa kutumia condom wakiwa na 3 years
na pia wanaelezwa kuhusu rights zao kama vile kubakwa,kutomaswa,ufahamu wa uumee na uke
wanakuwa wakiwa tayari wanajua na sijawaona eti wameharibika au kuwa na tabia mbaya
na wazazi wao wako free,africa tunawaficha matokeao yake wengi tumekuwa tunajifunza
wenyewe na wengine waliharibika kwa vile hawakujua, kumwambia mwanao hizi ni pedi za kina mama ina shida gani?
 
Mi nafikiri jambo baya zaidi kwangu ni hawa ze comedi mijibaba mizima ku-act sehemu za wakina mama na mabinti, wenyewe wanajikoki kwa vipodozi.....shenzi na nusu!!
Influence mbaya sana kwa watoto ambao vichwa vyao ndo kwanza vinajifunza mambo yanayotokea humu duniani.
 
Kuna siku binamu yangu wa kiume(miaka 8) aliniuliza "always ni nini" mbele ya wazazi wake na wanafamilia wengine tukiwa tunakula baada ya kuona tangazo kwenye tv. Nilipatwa na kigugumizi lakini nikamjibu kuwa ni sabuni ya kuogea, akauliza tena "mbona namuona nazo dada tu na mimi sijawahi tumia?" Ilibidi itumike akili ya ziada kubadili topiki.
 
nakumbuka kama miaka mitatu iliyopita tulikaa mimi dogo lasi na baba yetu.tulipo kuwa tunacheki tv katika kubadilisha channel wakawa wapenzi wana kiss midomoni.dogo akalopoka wanafanya nini hao.baba alijibu wanapimana pua nilicheka!
 
Kuna dogo alimuuliza mzazi ivi hii inatumikaje dingi akawaka muulize mama yako!
TV za siku izi akili kumkichwa kwa kweli ndo maana ata Mpoto alisema unakaa sebuleni huna amani ya kitakachooneshwa moyo unkauwa juu jujuu
 
hakuna tv program kwasasa u takuta haina masuala hayo vumilia tu au tafuta ka tv uwe una chek na mke chumbani, mi mwenye nlitoka sikumoja bila kuaga joti alipo anza mambo yake, aibu mbele ya bimkubwa
 
mtoto akishakuwa na ufahamu ambiwe kila kitu usimfiche,
tujiulize watoto wa wenzetu wanafundishwa kutumia condom wakiwa na 3 years
na pia wanaelezwa kuhusu rights zao kama vile kubakwa,kutomaswa,ufahamu wa uumee na uke
wanakuwa wakiwa tayari wanajua na sijawaona eti wameharibika au kuwa na tabia mbaya
na wazazi wao wako free,africa tunawaficha matokeao yake wengi tumekuwa tunajifunza
wenyewe na wengine waliharibika kwa vile hawakujua, kumwambia mwanao hizi ni pedi za kina mama ina shida gani?

wewe ni Nobility
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom