Gamaha
JF-Expert Member
- Jul 17, 2008
- 3,946
- 5,088
Ha ha ur crazy
Kuna dem mmoja mtaani yeye mpaka uambiwe ndio utajua dem
Ha ha ur crazy
We kijana,sasa hapo mambo ya nyege yamekujaje?mke wangu anaumwa kalazwa hospital halafu wewe unanitakia nyege zisizoisha????khaaa!
Mada yako ipo vululuvululu tuuu....mara jamaa kawa shoga sijui kafa na ngwengwe....ohhh mara Salama sijui sista P....yani shaghalabagala tuuu...
Halafu heading na ulichikiandika ni mbingu na ardhi...
Lipo tatizo la kukataa jinsia....
Nikipata fursa nitaliweka hapa, tuombe uzima
Mungu akusaidie usichelewe Mtambuzi; maana haya mambo ya kuombeana nyege humu yanatutisha wengine!
issshhh!!??!!!
Unatutukana wote humu?