Kuna binadamu wana tatizo hili. Ni hali ambayo mtu anakuwa hayuko comfortable na jinsia aliyozaliwa nayo. Mara nyingi tatizo huanzia utotoni, unakuta mtoto wa kiume anapenda sana michezo ya kike, company ya kike na hata kupendelea mavazi ya kike. Imegundulika watu wengi wenye tatizo hili huwa wanatatizo kwenye sehemu ya ubongo inayo determine sex. Unakuta mwanaume lakini sehemu hiyo ipo kama ya mwnamke au mwanamke lakini sehemu ipo kama mwanaume. Sababu za kijamii na kisaikolojia pia zinaweza sababisha tatizo hili lakini zaidi husababisha mtu aonekane ana tatizo. Watu wenye tatizo hili hupata taabu sana kwa kuhisi kwamba wanaishi kwenye jinsia isiyo yao na unyanyapaa wanaopata kutoka kwa jamii. Tatizo hili huwapata sana wanaume, sababu moja ni kwamba wanawake wanaweza fanya mambo ya kiume pasiwe na tatizo ila shida zaidi mwanaume akifanya jambo la kike. Watu hawa mara nyingi hujitibu kwa kutumia vichocheo. Mfano mwanamke mwenye tatizo hili anaweza kutumia vichocheo vya kiume ili kuzuia asiote matiti, sauti isiwe nyembamba na asitokeze makalio makubwa. Tiba nyingine ni kufanya upasuaji wa kubadili jinsia kama uvumi uliomtokea Tyson. Pia kuna tiba za kisaikolojia zinazomsaidia mtu kuachana na mawazo kwamba amezaliwa na jinsia isiyopaswa. Ila sio watoto wote wanaoonyesha dalili za tatizo hili huwa nalo ukubwani. Kuna kijana mmoja nahisi alikuwa na shida hii alikuwa anapenda sana kampani ya kike na mambo ya kike, baadae akawa shoga na akafariki na ukimwi.pengine salama jabir au sister P (we dare to talk openly) wana shida hii au ni mambo ya kisanii. Nawatakieni nyege sisizoisha!!