jamani nyie wanaume

jamani nyie wanaume

Hapana usiseme ivo,sikutarajia kama itakuja kuwa ivyo,kwani mala ya kwanza alinitamkia mwenyewe kwamba mwaka huu lazima ataenda kwetu before mwaka haujaisha.Yani natamani Mungu anichukue kwani naiyona dunia chungu sana.Nakili nimekosa sana na sikupenda kukosea katika maisha yangu.Naumia sana kwa kweli.

kulia haisaidi zaidi utakuwa unajiumiza wala swala la kutaka kufa sio suluhisho sahihi umeanguka nyanyuka futa vumbi anza safari upya
 
dah..pole sana...huyo jamaa atakuwa na tatizo la hakiri@ hila dada uliwezaje kumwamini hivyo mpaka kuiishi nae bila ndoa?
 
Ulishampa zawadi unategemea nn? Ndiyo ujue ndoa ni jambo muhimu kabla ya kugawa zawadi,tubu kisha muombe Mungu kwa imani nawe utashinda,ila ukimuacha unaweza ukapata mwingine mambo yakawa mabaya.
 
Haaaa! sasa ww umeambiwa hvyo unasubiri kuondoka? kwani umetoka porini? mtu anakwambia hana mpango na ww unaanza kulia lia! timua kaanze maisha mbele kwanza ushapoteza muda wako mwingi sana huyo hakuwa chaguo lako rudi kwenu ujipange upya utampata atakae kujali na kukuthamini!
 
Nyie wote hamfai, maana wote mlifanya kosa kwa kuanza kutikisana kabla hamjaingia kwenye ndani ya ndoa. Kwa hiyo jamaa kashaona namna ulivyo ameshakuchoka na sasa anaishia zake. Soma Efeso 5:3.
 
wazazi huwa wanamaanisha
bint.jpg
 
Thanx,but nikimfanyia kama unavyotaka nimlipizie aiseee nahisi kesho mnaweza kukuta nimepost habari ya mazishi,navyojua jamaa atakufa hapohapo maana jinsi nilivyokuwa na hasira naye nimeplan nimfanyie kitu babkubwa.ila acha niondoke kwa amani kwani najua nafsi yake itakuwa inamsuta na kuumia everday.
 
Elimu yako ya kawaida!?$$!!!!! Ipi? Do you think it's relevant?
 
Hivi unatuomba ushauri au unatusimulia kisa chako? Hapa kuna ushauri gani zaidi ya kuwa huyo jamaa hatakuja kukuoa, ukiamua kukaa kaa au kama unataka maisha ya heshima na ndoa uondoke haraka?
 
Mungu alisema usilipize ubaya kwa ubaya,yeye ameshanifanyia ubaya ambao maumivu yake yanaweza kusahaulika ndani ya wiki mbili.ila mie nikimfanyia ubaya wangu sidhani kama ataishi hapa duniani.let me leave him first.
 
Mydear unashindwaje kuelewa na ashakueka wazi kua hana time na yuko kwa ajili ya kukufuja tu,,...achana nae tupa kuleeeeeeeee,,.....LIFE goes on

Sio rahisi kihivyo, hasa kwa mtu ulieishi nae miaka mitatu na zaidi
 
kha... wewe mama nini unangángánia wakati huku duniani wanaume kibao tunamapenzi ya dhati...
 
nakili nimekosa sana kwenu,kwa wazazi wangu na hata ndugu zangu.mwanzoni mwa mahusiano alinibembeleza sana nihame Zanzibar kwani ameshanitafutia kazi nzuri.baada ya miezi kupita ndiyo nikamdokeza swala la kwenda nyumbani.inshaarraah.
 
katika maisha yangu cpendi kabisa kubadili badil wanaume.mie nikipenda basi ni huyo huyo.Npenda kutulia na mmoja ila sasa huyo majanga tupu.
 
Umeshapata nae mtoto?Na kama bado unasubiri nini hapo kwa huyo mtu,huoni hutakiwi?Na ninavyojua kwa sisi wanaume ukikaa muda mrefu na mwanamke bila kumuoa na ukishajua mapungufu yake huwa ni ngumu sana kumuoa hapo baadae,na bora jamaa kakueleza hivyo kuliko angekuoa kwa sababau eti mmekaa pamoja muda mrefu,huwa ndoa hailazimishwi na haifungwi kwa kuoneana huruma.Acha nature iamue.
 
Mi never hata kulala kwa mtu......

...kama ni kuspend night....hoteli zipo kibao saa nne kila mtu atawanyike kwao....pole sana dear...wewe hama tu hapo huna kitu
 
katika maisha yangu cpendi kabisa kubadili badil wanaume.mie nikipenda basi ni huyo huyo.Npenda kutulia na mmoja ila sasa huyu ni majanga tupu.
 
Habari wana MMU,mimi ni msichana mwenye kazi yangu ya kuniingizia kipato kidogo, na elimu ya kawaida.Kikubwa ambacho kinaniuma sana mpaka naandika huku nalia,Nina BF wangu ambaye aliamishwa kikazi mkoa mwingine na baaadae akanitafutia kazi huko aliko na kuanza kuishi nae(kwa kweli sikuwa napenda kuishi nae bila ndoa).Miaka mitatu sasa imepita,ila jamaa sijawahi kumsikia hata siku moja kudokezea jambo la kwenda kujitambulisha kwetu.Chakushangaza sasa nikimwambia kuhusu swala la kwenda kwetu daaaah!anachonijibu sidhani kama ntakuja kukuoa wewe na ukae ukijua kwamba ukiamua ondoka au ubaki nikufuje tu,ila swala la mimi kwenda kwenu sahau.

nashindwa kuendele jamani,

Kama hataki kwenda kwenda kwenu, we nenda kwao ukajitambulishe! Haki sawa bana!
 
What i can advice you is, buy time and think base on your side if you have any unbearable weaknesses that he couldnt take you anymore, then talk to him and asure him dat you wil take measures on it, otherwise move on with your life bana he is not worth to that extent hadi adiserve chozi lako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom