jamani nyie wanaume

jamani nyie wanaume

Umeshapata nae mtoto?Na kama bado unasubiri nini hapo kwa huyo mtu,huoni hutakiwi?Na ninavyojua kwa sisi wanaume ukikaa muda mrefu na mwanamke bila kumuoa na ukishajua mapungufu yake huwa ni ngumu sana kumuoa hapo baadae,na bora jamaa kakueleza hivyo kuliko angekuoa kwa sababau eti mmekaa pamoja muda mrefu,huwa ndoa hailazimishwi na haifungwi kwa kuoneana huruma.Acha nature iamue.

asante DCM,Ila jua kwamba sijawahi kumlazimishi anioe,ila neno moja tu afunge safari hadi Zanzibar akawaone wazee na kuwaambia kwamba naishi na mtoto wenu mkoani.Kuishi na mtoto wa mtu alafu wazazi wake hawajui hiyo ni laana kubwa hata Allaa hapendi,ila mie namtakia heri na Mola amzidishie kwa mabaya yake na majibu yake machungu. acha niludi kwetu najua ntauza hata Samaki ili maisha yaende.
 
hehehehehehe nicheke kama mazuri wenzio huwa wanaenda kwa kuiba ww unajikabidhisha mzima mzima kama zigo la kuni......pole sana hiyo miaka 3 ungekuwa umefika mbali kimaisha,hata hivyo bado hujachelewa kusanya vilago vyako upange chumba kingine uanze maisha upya kwani wenye dushelele wapo wengi sana ila usirudie kosa la kujikabidhisha bila hata ndoa ya mkeka.
 
Habari wana MMU,mimi ni msichana mwenye kazi yangu ya kuniingizia kipato kidogo, na elimu ya kawaida.Kikubwa ambacho kinaniuma sana mpaka naandika huku nalia,Nina BF wangu ambaye aliamishwa kikazi mkoa mwingine na baaadae akanitafutia kazi huko aliko na kuanza kuishi nae(kwa kweli sikuwa napenda kuishi nae bila ndoa).Miaka mitatu sasa imepita,ila jamaa sijawahi kumsikia hata siku moja kudokezea jambo la kwenda kujitambulisha kwetu.Chakushangaza sasa nikimwambia kuhusu swala la kwenda kwetu daaaah!anachonijibu sidhani kama ntakuja kukuoa wewe na ukae ukijua kwamba ukiamua ondoka au ubaki nikufuje tu,ila swala la mimi kwenda kwenu sahau.

nashindwa kuendele jamani,

Wewe komaa tuu. Kwa mujibu wa sheria za Nchi Tanzania na Nchi nyingi duniani ni kwamba pale unapoishi na mwenzako maisha ya kindoa kwa miaka miwili au zaidi serekali inawatambua kama wana ndoa. Na unahaki zote kama Mke/Mme.

Wewe Tulia usiruke njia na usikubali akunyanyase. Vyombo vya kukusaidia vipo pale hutapoitaji Msaada.

Banana hapo hapo...Siku moja itakula kwake tuu.
 
wala si manyoya; umeambiwa black and white halafu unauliza ufanyaje. No wonder ameamua kukuacha kama unashindwa kufanya maamuzi kwa kitu straight kama hiki then hata familia huwezi endesha.
Kifupi kwa kukaa na wewe hiyo miaka 3 amegundua mapungufu yako ya kuzidi ambayo ni pamoja na akili za kushikiwa. Endelea ku'fujwa' kama alivyokuambia.

Du hii dozi kali sana mbona dada Kaunga?

Halafu, 3 yrs si ni ndoa kisheria? akadai tu wagawane mali then asepe..hahah..au akubali kufujwa mazima asepe? #sidhani
 
Last edited by a moderator:
Asnam nahisi haujanielewe vizuri,sipendi maisha ya kuwa na mtu huyu mala yule .mie ni msicha ambaye nimeshika sana dini na nimetulia sana.ila nashangaa mwenzangu namwambia kitu cha heri yeye ananijibu kishari na sijamlazimisha kwamba lazima unioe hapana cpo ivo.sikutegemea kama cku moja yangekuja kunikuta haya.anyway acha nianze na maisha yangu kwani nikitulia na kujitunza naimani atakuja wa saizi yangu.

Nakili nimekosa sana kuishi naye bila ndoa.
 
si bora amekuwa mkweli.ingawa ukweli unauma,nashangaa juu ya kuambiwa hivyo,bado unauliza jf.anza maisha yaki kivyako.pengine unapokaa hapo unazidi kujikosesha riziki yako,amini kuwa yupo mwengine na utampata tu,ila liwe funzo usikubali kuhamia kwa mwanamme.wengine wakishatia wee mwisho wanakuona wa kawaida tu,na kwa kuwa wanajijua hawajaoa,watakupelekesha wanavyojua wenyewe
 
Asante Toria kwa ushauri wako mzuri.Naimani utanisaidia kwani umuhimu wa mtu utaujua pale atakapo kuacha au kukaa na wewe mbali.
 
Tafuta kichaka usepe, huna lako hapo.
 
Habari wana MMU,mimi ni msichana mwenye kazi yangu ya kuniingizia kipato kidogo, na elimu ya kawaida.Kikubwa ambacho kinaniuma sana mpaka naandika huku nalia,Nina BF wangu ambaye aliamishwa kikazi mkoa mwingine na baaadae akanitafutia kazi huko aliko na kuanza kuishi nae(kwa kweli sikuwa napenda kuishi nae bila ndoa).Miaka mitatu sasa imepita,ila jamaa sijawahi kumsikia hata siku moja kudokezea jambo la kwenda kujitambulisha kwetu.Chakushangaza sasa nikimwambia kuhusu swala la kwenda kwetu daaaah!anachonijibu sidhani kama ntakuja kukuoa wewe na ukae ukijua kwamba ukiamua ondoka au ubaki nikufuje tu,ila swala la mimi kwenda kwenu sahau.

nashindwa kuendele jamani,
Pole sana mwanangu! Una bahati kwamba umeambiwa hayo bado ukiwa ni msichana, wengine huambiwa hivyo wakishafikia 30's or even 40's. Mimi nakushauri kama hadi leo hii hujakunja kunja vitu vyako ufanye hivyo urudi ulikotokea haraka, huo mkoa haukufai hata kama kazi yako inalipa..! huyo si mtu wa kuishi nae hata kwa dakika moja.. nakutakia kila la kheri, Mungu akupatie kazi nzuri, pia upate mchumba mwengine wa kukufariji, kukuoa na kupata familia..
 
kwa mujibu wa sheria mkiishi pamoja kwa muda wa miezi 3 nyie ni mume na mke,ila ndoa hailazimishi ukilazimisha utateseka.na sio wanaume ndio tulivyo co wote ila usilazimishe tulia utapata atakae kuja kujitambulisha.

Hakuna sheria ndani ya Tanzania inasema 'mkiishi pamoja kwa miezi 3 ninyi ni mume na mke' tafuta THE LAW OF MARRIAGE ACT Cap 1971 revised 2002, Section 160 or 166 Subsection 1 and 2. Inasema presumption of marriage ni kuishi pamoja kama mume na mke kwa miaka 2 mfululizo. Ni rebutable presumption (Dhana inayopingika) inayofutwa kwa kukosekana ushahidi wa ndoa. Only it apply when spouses who live together for 2yrs consequently or more, and then seperation occurs, woman has rights to sue for her maintaness...
So, hao kisheria wanatambulika bado ni wazinzi.
Kisheria huyo m/ke hawezi kunufaika na chochote unless and untill atelekezwe na huyo m/me. Moreover, kama waliahidiana kuoana, na huyo m/mke ana ushahidi juu ya hilo anaweza kumshtaki kwa kuvunja ahadi ya ndoa (breach of marriage promise). Cha msingi hapendwi aondoke zake tu....
 
Muwe mnajifunza wadada, we mtu umemkabidhi mbunye aifanyie anachotaka unategemea atakuoa?? kisheria hiyo inaweza kutambulika kuwa ni ndoa, so asikunyanyase sana una uwezo wa kumbananisha, lakini kwa kuwa ameshaweka wazi msimamo wako ni vema ukaondoka kwa amani, sio mtu anakwambia maneno mabaya kama hayo na wewe unaendelea kumpanulia tu ale dudu,shaurilo!!!!!
 
jipange,uondoke hapo kwake
pangisha kwako,huyo hakutaki live
pia ukiondoka usijichoshe na mastress
pendeza zaidi ya ulivyo sasa ajue maisha bila yeye yanawezekana!!
 
pole sana dada ila kama huyo bf wako ameishakuambia hatarajii kuja kukuoa na ww bado unamng'ang'ania,tafakari na mwishoe chukua hatua muafaka.
 
Pole kwa kweli sometime ukauzu ni mzuri sana, kuwa kauzu ondoka halafu fanya mambo yatayokuletea maendeleo.
 
Habari wana MMU,mimi ni msichana mwenye kazi yangu ya kuniingizia kipato kidogo, na elimu ya kawaida.Kikubwa ambacho kinaniuma sana mpaka naandika huku nalia,Nina BF wangu ambaye aliamishwa kikazi mkoa mwingine na baaadae akanitafutia kazi huko aliko na kuanza kuishi nae(kwa kweli sikuwa napenda kuishi nae bila ndoa).Miaka mitatu sasa imepita,ila jamaa sijawahi kumsikia hata siku moja kudokezea jambo la kwenda kujitambulisha kwetu.Chakushangaza sasa nikimwambia kuhusu swala la kwenda kwetu daaaah!anachonijibu sidhani kama ntakuja kukuoa wewe na ukae ukijua kwamba ukiamua ondoka au ubaki nikufuje tu,ila swala la mimi kwenda kwenu sahau.

nashindwa kuendele jamani,

huyu jamaa atakuwa ni mbwa! ushetani wote huo wa nini kwa mtu aliejitolea kila kitu kwa ajili yake? binadamu .................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom