jamani nyie wanaume

jamani nyie wanaume

Asante Toria kwa ushauri wako mzuri.Naimani utanisaidia kwani umuhimu wa mtu utaujua pale atakapo kuacha au kukaa na wewe mbali.
kwa comment hii maskini naona kama bado umri wako mdogo! unatia huruma! pole sana! usife moyo, yataisha!
 
dada njoo kwangu ntaenda kukupeleka kwetu ndani ya mwezi m1, na wewe nataenda kwenu kabla ya kuja kwetu, i love you
 
.......mie ni msicha ambaye nimeshika sana dini na nimetulia sana.

Ni dini gani hiyo unayofata wewe kuishi na m/me bila ndoa? Huoni ata aibu "eti umeshika dini afu umetulia sana"......!
 
Itakua huko kwenu ni sawa na kuambiwa nenda motoni,kama kungekuwa na nafuu sizani kama ungekuwa KING'ANG'ANIZI
"Ndoa inatokea kama ajari tu,sio Chaguo"
"""VV""""
 
Pole SANA NA UNAWEZA KUVUMILIA KWELI, ila jibu unalo. Achana nae utapata mwingine.
 
Ww umehamia kabisa wenzio hawafanyii ivyo wanakaa 2days wanasepa ss kashazoea huduma zote kufuliwa,pika anaona kawaida sepa jitegemee na asikuzoee kua busy na yakooo ,wanawake weengi na tabia izo wanaachwa m2 anaoa stil unashangaa ndani!!take action madame unalia nn umeolewa!!!heeeee!!!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Udhaifu wako utakufanya urushwe huku na kule heheheeee watttt....yani leo angekuta house nyeupeee na al detail nusu kwa nusuuu unalia lia sn na endelea kukaa bila msimamo kiboko yako ataletwa ukose yotee

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
hivi wanawake mna shida gani aise..?
 
m apenzxi kizungu zungu,kama vp wewe ondoka nenda zako,ktk ndoa baraka za wazaz ndyo kila kitu,kwan umezaa nae?
 
hapana ingefaa isomeke hivi "jamani mimi.........." LOL


yaani kuna watu ving'ang'anizi mmojawapo mtoa mada aisee, mpaka mtu akufungie novena ya kuachana nae jamani, sijui ni upendo umepitiliza/sijui ni ujinga, mweh
 
Bibie, upo dunia gani? Mbona unauliza mchana wakati ni usiku wa manane? Mshukuru sana huyo bwn. Hakika anakupenda sana akaona utajajiua bure pindi akichukua uamuzi wake. Kumleta mkewe hapo ndani. Tena sio kwamba anaenda kumtafuta bali yupo tu anamngojea atoe signal miaka mitatu, nalima shamba halilimiki!! Duuh! Hata hivyo kakusubiri. Funga kila chako uondoke. Tena hamia ng'ambo ya mji. Wala kwako usimwonyeshe huyo mwambie akachukue zuzu jingine ila wewe kumekucha. huko, ukifika, macho yako yaangalie chini, ujiheshimu, usiruhusu "Kilombero" ifujwe yako ifujwe tena. Miaka 3 unamwonjesha mtu tuuuu. Kweli vichaa ni wengi. Pole.
 
Hivi unatuomba ushauri au unatusimulia kisa chako? Hapa kuna ushauri gani zaidi ya kuwa huyo jamaa hatakuja kukuoa, ukiamua kukaa kaa au kama unataka maisha ya heshima na ndoa uondoke haraka?

happy wife, happy life..........
 
Jamani mapenzi ni upofu ulokosa tiba. Mwenzi wake kaamishwa kituo cha kazini akamsaidia na yeye akaamia kumfata. Kosa lake kubwa ni kuishi nae nyumba moja uku hata hawakua na malengo!!

Hata ukianza kulia hakuta kusaidia zaidi ya kuchukua hatua. Umeajuriwa dada ulishindwa nn kujitegemea!! Ulikua una avoid cost mana na sisi kwa kupenda vya mteremko!?

Ushauri sasa mana ndo umeuomba : anza kutafuta nyumba haraka na usimwambie chochote ukipata chukua kilicho chako ukaanze maisha yako na kwenye akili zako sahau kama alikuwepo.

Kikubwa acha kulazimisha maji kupanda mlima. Umesema una muamini Mungu kwanini hautendi yanayo mpendeza.
 
Habari wana MMU,mimi ni msichana mwenye kazi yangu ya kuniingizia kipato kidogo, na elimu ya kawaida.Kikubwa ambacho kinaniuma sana mpaka naandika huku nalia,Nina BF wangu ambaye aliamishwa kikazi mkoa mwingine na baaadae akanitafutia kazi huko aliko na kuanza kuishi nae(kwa kweli sikuwa napenda kuishi nae bila ndoa).Miaka mitatu sasa imepita,ila jamaa sijawahi kumsikia hata siku moja kudokezea jambo la kwenda kujitambulisha kwetu.Chakushangaza sasa nikimwambia kuhusu swala la kwenda kwetu daaaah!anachonijibu sidhani kama ntakuja kukuoa wewe na ukae ukijua kwamba ukiamua ondoka au ubaki nikufuje tu,ila swala la mimi kwenda kwenu sahau.

nashindwa kuendele jamani,
Unachoshindwa kuelewa hapo ni nini, wakati umepewa blaki endi waiti...??? Shukuru Mungu huyo kawa muwazi mapema, la sivyo angekugegeda hadi unafika 33 ndo angekuacha..
 
Jitahidi uzae nae mtoto.
Du hapo ataumbuka, bora amtafute Mwanamume mwingine hata rafiki wa huyo BF wake na kuanza ukurasa upya
Lazima BF wake atachanganyikiwa kuona kitu kinaondoka na atakapotaka kuzuia ndipo hapo anapomwambia akajitambulishe kwao
 
yer inauma sana yani leo sijaenda popote nipo tu chumbani nalia sana.siamini kama mambo ambayo nayaona na kuyasikia leo yananitokea kwangu.siamini
Una bahati kwamba hajakuzalisha... ungekuwa na mtoto, maamuzi yangekuwa magumu sana kwa upande wako. Kwa sasa, regardless of anything, wewe wahi kuondoka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom