jamani nyie wanaume

jamani nyie wanaume

Pole sana mdogo wangu,hakuna ushauri tutakaokupa utakaoweza kubadili kauli za huyo Bf wako,cha msingi unatakiwa uelewe life must go on bila ata ya huyo mwanaume,usiseme huwezi cuz hujazaliwa nae,umekutana nae ukubwani tu hivyo asikubabaishe wala kukupa ugonjwa wa moyo bure,watu wanafiwa na wazazi wao waliowapenda na kuwathamini lakini wanasahau itakua huyo Bf?jipe moyo na utashinda,achana nae though mwanzoni utaumia sana ila time will heal all the pains.
 
Habari wana MMU,mimi ni msichana mwenye kazi yangu ya kuniingizia kipato kidogo, na elimu ya kawaida.Kikubwa ambacho kinaniuma sana mpaka naandika huku nalia,Nina BF wangu ambaye aliamishwa kikazi mkoa mwingine na baaadae akanitafutia kazi huko aliko na kuanza kuishi nae(kwa kweli sikuwa napenda kuishi nae bila ndoa).Miaka mitatu sasa imepita,ila jamaa sijawahi kumsikia hata siku moja kudokezea jambo la kwenda kujitambulisha kwetu.Chakushangaza sasa nikimwambia kuhusu swala la kwenda kwetu daaaah!anachonijibu sidhani kama ntakuja kukuoa wewe na ukae ukijua kwamba ukiamua ondoka au ubaki nikufuje tu,ila swala la mimi kwenda kwenu sahau.

nashindwa kuendele jamani,

Pole my dear ndivyo walvyo hao,omba Mungu atakupa mwngne atakaekuthamin,tena shukuru hata hajakutambulsha kwao,hakudai k2 hyo,tmuka,akil mukichwa dada.
 
G3T kuwa mkweli hamjawahi zozana sababu ya mtoto/kubeba mimba?

inawezekana jamaa bado anakupenda chunguza hili la mtoto ndio linaweza kuwa sababu,
na kama ni sababu inawezekana pia jamaa amepata ushauri kwa watu au ndugu,
yaani miaka mitatu hata bint hajabeba mimba, huyo bint hafai kuolewa piga chini,
na kama unavyojua huwa tunakimbilia kulaumu wanawake kwanza kabla ya kuangalia upande wa mwanaume,

kama hili sio sababu tafuta chanzo kingine kilichopelekea jamaa aamue kughairi kuoa ghafla,
kutakuwa kuna sababu tu, ukishajua sababu na kama inatatulika washirikishe ndugu/wazee/marafiki na mambo yatakwenda sawa tu,
 
Last edited by a moderator:
nipe namba yako ya simu madam mpendwa ili nikuelekeze uje kituoni kwetu kwa ajili ya ushauri na itifaki nyingine, atakuumiza huyo mwanaume hali ya kuwa unaweza mpiga chini na kumpata mwanaume mwngne atakayekufaa.
 
::
Tatizo umempenda sana kuliko alivokupenda,,usitupie lawama wanaume wote.
=
 
  • Thanks
Reactions: awp
Maisha yanasonga, usimfikirie mmoja wakati kuna mamilioni ya innocent men.
 
Habari wana MMU,mimi ni msichana mwenye kazi yangu ya kuniingizia kipato kidogo, na elimu ya kawaida.Kikubwa ambacho kinaniuma sana mpaka naandika huku nalia,Nina BF wangu ambaye aliamishwa kikazi mkoa mwingine na baaadae akanitafutia kazi huko aliko na kuanza kuishi nae(kwa kweli sikuwa napenda kuishi nae bila ndoa).Miaka mitatu sasa imepita,ila jamaa sijawahi kumsikia hata siku moja kudokezea jambo la kwenda kujitambulisha kwetu.Chakushangaza sasa nikimwambia kuhusu swala la kwenda kwetu daaaah!anachonijibu sidhani kama ntakuja kukuoa wewe na ukae ukijua kwamba ukiamua ondoka au ubaki nikufuje tu,ila swala la mimi kwenda kwenu sahau.

nashindwa kuendele jamani,
Wanawake mnashindwaga kuelewa hili somo yani kwa asilimia kubwa ni hivi ukishakaa na mwanaume design ya sogea tuishi kama ulivyo fanya wewe possibility ya huyo mtu kukuoa ni ndogo sana yan maana sasa wewe unaishi nae hapo hapo kinyumba sasa akuoe ili iweje unaweza kuta anakuja oa mwanamke mwingine wewe unabaki tu kwenye mataa..mistake ushafanya sijui utai remedy vipi..via if you can get free milk why keep a cow..rejea maneno ya mama rwakatare kny kipind flani hivi cha televisheni...!!! Over..!!!
 
huyo tayari moyo wake umetulia mahali pengine,nawe jitambue kua hakuhitaji tena.usikate tamaa maisha yapo mengine zaidi yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom