jamani nyie wanaume

jamani nyie wanaume

Bi dada huna haja ya kuchosha akili na kuchanganyikiwa ameshasema wewe sio chaguo lake kubali matokeo umekaa naye miaka 3 amekuzoea sasa anahitaji mali mpya.....ondoka nenda kaanze upya jifunze kutokana na makosa inaumiza lakini yatakwishi kwa muda mfupi
 
Tatizo lenu wadada mnadanganyika kirahisi,why unaanza ku practise maisha ya ndoa wakati hata mtu haya anza process za ndoa,pili wewe ulikuwa na kazi yako then unahama unamfuata mkaka bila hata kuwashirikisha wazazi wako,wewe kikubwa ondoka hapo,ila umeyataka mwenyewe 100%
 
asante sana kwa ushauli wako,ni ivi jamaana leo anakwambia siwezi kukuoa wewe,kesho anakuomba samahani na kujuta sana kwa maneno aliyosema.tatizo linalokuja ni kwamba tayali tumeshafungua miradi mingi na yeye.
 
Ha ha ha ha, i like this. Eti hasira got better of me!

Ila kuna watu unawakasirikia hadi basi, sasa anasubiri nini wakati kapewa kila kitu mchana kweupe?

Aisee nisamehe, hasira got better of me hadi nikaflow tu bila kufikiria kuwa nimekuqoute wewe.
 
yer inauma sana yani leo sijaenda popote nipo tu chumbani nalia sana.siamini kama mambo ambayo nayaona na kuyasikia leo yananitokea kwangu.siamini
 
Bi shomvi, you shld not leave to regret!!!!!!!!!
jst simple thing...........make him pay for what he is doing to you...................hahahhhahahh!!!! i real love such kind of people manake one mistake one goal na sera yangu kidali lazima alale nacho mwingine whatever the cost period!!!!!!!!!!!! ............................it is never late until its late........and never let it to be late!!!!!!!!!!!!
kwani bishomvi wewe hujui kulipa kisasi enh????

Huyu kakuchakaza na wewe mchakaze, mfuje kama anavyokufuja, mwonyeshe kwamba wewe u mwanamke tena wa shoka. Go back to your folders angalia ambao wako kweye reserve list anza nae mdogo mdogo, huku ukichanga karata zako sawasawa, siku unampa kubwa kwamba HATA YY SIO MWANAUME WA SAIZ YAKO NA UMEMPATA ALIYE MWANAUME WA UKWELI MAKE HIM FEEL HE IS NOTHING AND NOT EVEN A PIECE!!!!!!!!!!!!!!!! mfanye ajiskie low vibaya sana kiasi kwamba ahame mkoa. Hujui chochoro za mujini wewe enh!
Ukiskia mjini ndo hapa ukimwona ngedere kafugwa huyooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ha ha ha ha, i like this. Eti hasira got better of me!

Ila kuna watu unawakasirikia hadi basi, sasa anasubiri nini wakati kapewa kila kitu mchana kweupe?

umeona eti anaombwa msamaha; ila uso ambatana na vitendo na kwamba wamefungua miradi kibao!!!!!!!!!
 
Bi shomvi, you shld not leave to regret!!!!!!!!!
jst simple thing...........make him pay for what he is doing to you...................hahahhhahahh!!!! i real love such kind of people manake one mistake one goal na sera yangu kidali lazima alale nacho mwingine whatever the cost period!!!!!!!!!!!! ............................it is never late until its late........and never let it to be late!!!!!!!!!!!!
kwani bishomvi wewe hujui kulipa kisasi enh????

Huyu kakuchakaza na wewe mchakaze, mfuje kama anavyokufuja, mwonyeshe kwamba wewe u mwanamke tena wa shoka. Go back to your folders angalia ambao wako kweye reserve list anza nae mdogo mdogo, huku ukichanga karata zako sawasawa, siku unampa kubwa kwamba HATA YY SIO MWANAUME WA SAIZ YAKO NA UMEMPATA ALIYE MWANAUME WA UKWELI MAKE HIM FEEL HE IS NOTHING AND NOT EVEN A PIECE!!!!!!!!!!!!!!!! mfanye ajiskie low vibaya sana kiasi kwamba ahame mkoa. Hujui chochoro za mujini wewe enh!
Ukiskia mjini ndo hapa ukimwona ngedere kafugwa huyooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!

You sound exactly like lara 1.
 
Last edited by a moderator:
sidhani kama ntakuja kukuoa wewe na ukae ukijua kwamba ukiamua ondoka au ubaki nikufuje tu,ila swala la mimi kwenda kwenu sahau.

Majibu yote ya hatma yenu yapo hapo kama ulivyoandika...pole!
Kitu pekee ninachoweza kukushauri hapa, hebu nawe mchune hadi abakie mifupa halafu ondoka zako...
 
yer inauma sana yani leo sijaenda popote nipo tu chumbani nalia sana.siamini kama mambo ambayo nayaona na kuyasikia leo yananitokea kwangu.siamini
Unalia kwani kaondoka na sura ama umbo lako??!!!! EBOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!! Amka oga tupia pamba yako ingia kitaa tafuta mahali kaa alone kula kunywa, huku ukipanga strategies!!!!!!!!!! yaani ungekuwa mdogo wangu ningekuwasha kibao utie akili....................DONT YOU HAVE PPLE IN UR RESERVE LIST?? ITS TIME TO CALL ONE ON BOARD and start to have fun. Huku ukipanga baada ya kupamba nini kifwate.............its so simple to deal na hawa wanaume wanyanyasaji kama unaakili kama yangu.
 
Hapana usiseme ivo,sikutarajia kama itakuja kuwa ivyo,kwani mala ya kwanza alinitamkia mwenyewe kwamba mwaka huu lazima ataenda kwetu before mwaka haujaisha.Yani natamani Mungu anichukue kwani naiyona dunia chungu sana.Nakili nimekosa sana na sikupenda kukosea katika maisha yangu.Naumia sana kwa kweli.
 
Asante sante dada yangu,Nakuahidi nitaufuata ushauri wako,ila cha kwanza itabidi nihame huu mkoa,niludi kwetu Zanzibar na kutafuta kazi upya.Naona haya manyayaso sasa yamezidi na sitovumilia tena kuona naumia kila siku.
 
Najua nikimlipizia kisasa nahisi atakufa siku hiyo hiyo,Acha niondoke kwa amani ila nitamuomba sana Mungu amlipe kinacho stahili.Mimi ni Msichana Mwenye imani sana na nikisema nikuswalie warahiiii! hubaki.
 
SHIT.............UHAME UENDE KWENU KUFANYA NINI???????............MAKE HIM PAY FIRST!!!!!!!!!!!!
I hate iyo akili yako ya woga kwani that is your immediate enemy you have. Never let yrself be tortured by such dickhead!!! c'mn WEWE NI MWANAMKE TENA NI JASIRI SANA USISEME SIWEZ AMA NAOGOPA GO FOR IT NA UTAWEZA . mfanye ajue makosa yake na ajue yeye sio Mungu, n that your life can proceed even outside him............... kazi yako usiache il mfanye awe low graded kama kandambili.

Kwangu mie huyo angekuwa kandambili hadhi yake msalani tu!!!!!!!!!
 
asante sana kwa ushauli wako,ni ivi jamaana leo anakwambia siwezi kukuoa wewe,kesho anakuomba samahani na kujuta sana kwa maneno aliyosema.tatizo linalokuja ni kwamba tayali tumeshafungua miradi mingi na yeye.

kinachomtoka mtu ndicho kiujazacho moyo wake anaomba msamaha kinafiki akijua umewekeza kwenye miradi.......kutokana na miradi ataendelea kukuchezea cheusi chekundu itafika muda uamue kutoa maamuzi magumu
 
Mhhhhh...umekaa na mwanaume miaka3, unalala naye kitanda kimoja hata kumtegeshea mimba??labda ameona una tatizo
 
kitu pekee ambacho nakiona na chamuhimu sana katika maisha yangu yasasa na yabaadae ni Kumuomba sana Mungu aongoze maisha yangu.
 
Najua nikimlipizia kisasa nahisi atakufa siku hiyo hiyo,Acha niondoke kwa amani ila nitamuomba sana Mungu amlipe kinacho stahili.Mimi ni Msichana Mwenye imani sana na nikisema nikuswalie warahiiii! hubaki.
Hivi wewe huju kwamba muda mwingine Mungu hutupa nafasi ya kutumia utash wetu?? Na kwamba usalipo shurti na wewe uwe msafi sasa umezini nae miaka yote hiyo leo wataka umsomee albadiri enh!! Kabla ya kwenda huko angejua kwanini bahari imekomea pwani tu na bara haikufika.

Dah!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom