Jamani nipokeeni wana JF CC wa Dar!!

Jamani nipokeeni wana JF CC wa Dar!!

magari ya huko yanaishia tandika. ukishindwa kushuka zakhem ntakusubiria pale sudan. mia

mzee wa mia nipo dar hii sijui wewe ulijificha pale leo tupo hapa hukujapo
 
wewe wa kuja kweli hujui mvua za dar au???mfano manzese inanyesha sinza au uubungo ukipita umelowa wanakushangaa....
Kha ulikuja dar na bus gani wewe?
Hapa nlipo mvua ndo imekatika

Uko Kinyerezi? Maana mi ndo nafika home sasa hivi nikitokea Kurasini na nimepitia Kkoo, Jangwani, Migomigo, Manzese, K'ndoni, M'Nyamala, Sinza, Mwenge, Lugalo, Mbezi....... kote kukavu. Ama imenyesha kwako tu?!
Halafu kuna jamaa ametokea njia ya Ubungo nayo kavu.
 
shape ya kukaa kinyerezi hii hapo nilipomuelekeza gambachovu tu nilipo
embu kakojoe ulale
 
shape ya kukaa kinyerezi hii hapo nilipomuelekeza gambachovu tu nilipo
embu kakojoe ulale

Mbona mkali mkuu? Nimepataja home nini? Usihofu haupo peke yako uko pamoja na mkongoman Chimbuvu
 
Last edited by a moderator:
mzee wa mia nipo dar hii sijui wewe ulijificha pale leo tupo hapa hukujapo
kama vipi jmos njoo tukutane ile sehemu ya siku ile hapa makumbusho. lakini mbona nasikia ulienda mkoa na huna mpango wa kuja dar labda rikizo?. mia
 
Mbona mkali mkuu? Nimepataja home nini? Usihofu haupo peke yako uko pamoja na mkongoman Chimbuvu

napokaa mie nauli bus 200 tu bajaj 3000.
Kha nitakaaje sehemu mpaka nikitaka kwenda posta kushangaa twin tower niamke saa 10 na mpaka nifike jasho la kwenye makalio limenitoka sana
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana umefikia wapi?
Pole na uchovu!!utakuta nimeshakutayarishia maji ya moto na maakuli

My dear amu huyu gambachovu anaweza kuwa ameacha mke Mtwara hayo maandalizi sitaki kukuona unahuzunishwa rafiki
 
Last edited by a moderator:
My dear amu huyu gambachovu anaweza kuwa ameacha mke Mtwara hayo maandalizi sitaki kukuona unahuzunishwa rafiki

umeona eee halafu mtu mwenyewe hana hata shukrani hata kusema asante nimefika salama ahsante sana kwa maandalizi ameshindwa.
Ama kweli tenda wema nenda zako usingoje shukrani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom