Jamani nipokeeni wana JF CC wa Dar!!

Jamani nipokeeni wana JF CC wa Dar!!

gambachovu

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
1,854
Reaction score
293
Ni baada ya miezi mitatu hivi, natokea Mtwara.
Ndiyo tumemaliza kipande kichafu cha tope.. Somanga-Muhoro..
Najipigia hesabu kama naweza kujituliza Leo Tupo Hapa Pub,au vipi...
By Gee Cee
 
Tunalitafuta daraja la Mkapa kwa fujo sana..
 
Karibu sana umefikia wapi?
Pole na uchovu!!utakuta nimeshakutayarishia maji ya moto na maakuli
 
Karibu sana umefikia wapi?
Pole na uchovu!!utakuta nimeshakutayarishia maji ya moto na maakuli

Asante sana amu ... Kiukweli sijajua nafikia wapi. Kama kuna namna ya mwanaJF CC anayeweza kunientertain,nitamshukuru.. Kwangu nitawasili kesho..
 
Last edited by a moderator:
karibu utamkuta amu hapo sebleni atakupa maelekezo yote

Ummu atakutoa matembezini
 
Karibu sana umefikia wapi?
Pole na uchovu!!utakuta nimeshakutayarishia maji ya moto na maakuli

hivi wewe umesharudi dar au unamzuga mwenzio?. juzi nlijipitisha kwenu nikamkuta mdogo wako tu!. hujambo?. mia
 
Umepanda wifi nae? Nikupokee Ubungo
 
Tatizo umekuja Dar wakati wenyeji tunaelekea Tanga. Mmenionea wapi Smile jamani jamani jamani?

Alaaaa.... Sasa,mi naona M'nyamala A pananihusu babu..
 
Last edited by a moderator:
mi nasubili ufike kongowe au njia panda ya charambe ndo nikwambie karibu. mia

Na haitakuwa giza? Maana mifoleni ya bongo bana... Mara mabasi yaendayo kasi, mara yaendayo haraka,ah mkuu.. Au nitue mizigo yangu Zakhem palee?
 
Back
Top Bottom