Jamani naumwa mwenzenu

jamani nipeni pole ,mwenzenu naumwa naskia malaria, alafu nabanja kishenzi,nipeni pole mamen na wanawake pia,akina dada pole zenu zinatia moyo zaidi.
Pole..but fanya mazoezi sana. Ukiwa mtu wa mazoezi malaria inakupitia mbali kabisa
 
Psychology Ukitaka kumjaji Mtu angalia hiyo avatar yake ndio unaweza Kumjaji huyu Mwita25 Avatar yake na akili zake zipo hivyo hivyo usijali tunao wengi tu hapa jukwaani kwenye hii jamii Forums.

tukianza kujaji akili za watu kwa kutumia avatar zao hakuna atakayenusuruka humu
 
Jamani pole mpenzi. Umeshameza dawa?Umeweza hata kula au nikuchemshie kasupu nikuletee?

Huko kubanja changanya limao, asali na magadi kidogo kwenye kijiko unywe.

ati sisi tukiwa wadogo tuliambiwa ukila asali na limao ni mbaya/sumu??
 
Piga muarobaini ndo mpango mzima, haya madongeyao ya siku hizi mizinguo tu
 
hii ni kwa kuwa hautembelei jukwa la jf dr.
kule utapata tiba za dr riwa, mwanakijiji na wengineo kibao,
mimi kwa kufuatia kule nimepata tiba ya mtoto ambae alikuwa alazwe kkwa ajili upasuaji kcmc
tarehe 4 mwezi huu.
kama ukishindwa nipm nikupe kile kidogo nilichopata kule, achana na wasanii akina pdidy.
pole sana mwaya.
 
Pole sana........ila next time usiende baa umevaa kaptula.........halafu uwe na glass yako mwenyewe hizi za kushea utabanja na kupata mafindofindo kila siku
 
Nenda pale manzese kabla ujafika kituoni kushoto ukitokea mjini kuna jama wanatengeneza mabox fulani vileeeee ukiyaulizia omba la urefu wako lipa hata advance mpwa usiwape ndugu shida ya wamalizie kulipa incase
of emergency kaka sanda ntakupa bure njoo kariakoo
 
hii ni kwa kuwa hautembelei jukwa la jf dr.kule utapata tiba za dr riwa, mwanakijiji na wengineo kibao,mimi kwa kufuatia kule nimepata tiba ya mtoto ambae alikuwa alazwe kkwa ajili upasuaji kcmctarehe 4 mwezi huu.kama ukishindwa nipm nikupe kile kidogo nilichopata kule, achana na wasanii akina pdidy.pole sana mwaya.
thethethet!! Pdidiy msaniii!1
 
Pole sana Get well soon

get-well-card.s600x600.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom