Jamani naumwa mwenzenu

Jamani naumwa mwenzenu

Pole sana mgonjwa,juzi siku ya ukimwi duniani ulikumbuka kwenda kupima?km bado fanya mpango ujitambue mapema.
 
Tarehe , ilikua siku ya Ukimwi, ulipima? je majibu ulichukua?
 
Jamani poleeeh i hope itakupunguzia maumivu,lakini na wasiwasi kwa nini za kina dada zaidi?isijeikawa nyegee oohooo
 
Back
Top Bottom