Jamani naumwa mwenzenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani naumwa mwenzenu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by yahoo, Dec 5, 2011.

 1. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  jamani nipeni pole ,mwenzenu naumwa naskia malaria, alafu nabanja kishenzi,nipeni pole mamen na wanawake pia,akina dada pole zenu zinatia moyo zaidi.
   
 2. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Pole ndugu, nenda ukapimwe!
   
 3. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  ngwengwe.eikei ei high volt.
   
 4. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umenikumbusha enzi za ANGAZA,ni noma,wewe kunywa vidonge tu ila uthiende kupima,thawa..!?
   
 5. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  nishawah kupima ngoma nikakutwa nna alama ya kutoa,but kwa sasa nna malaria na ku...koh! Koho..kubanja
   
 6. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanaogopa kukuambia ukweli,jaribu tena thehemu nyingine,thawaa..!?
   
 7. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Pole sana. tutakuombea dua utapona.
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Dec 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Jamani pole mpenzi. Umeshameza dawa?Umeweza hata kula au nikuchemshie kasupu nikuletee?

  Huko kubanja changanya limao, asali na magadi kidogo kwenye kijiko unywe.
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Duh, bweka mwenyewe usisubiri wengine
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hii mada ilikuwa jokes nikajua ni joke ya kawaida kumbe uko serious mkuu pole sana get well soon ciaoooooo..:shock:
   
 11. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #11
  Dec 5, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa kubembelezwa huku itabidi na mimi niumwe... :)
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,147
  Likes Received: 5,576
  Trophy Points: 280

  wakati unavalishwa condom mbona ukutukaribisha aunakaribisha imeshaoza na kuoza loh
  mbaya weyeeeeeeeeee
  mgeni mgeni mgeni mgeni huyu mgeni mgeni ameingia hana adabu wala haya
  amevamia na jf mgeni aemingia sasa watanzania tufanyeje mgeni kashavamia na jf

  ukiuchoka wimbo wangu fungua akunaga ikuridhishe mpwa
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,147
  Likes Received: 5,576
  Trophy Points: 280
  Umesahau na shahawa za kukuwa kienyeji yaaaani yai la kienyeji mpwa
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Dec 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hehehehe, we umwa tu love utabembelezwa na kuuguzwa vizuri mpaka ufiche dawa ili usipone.
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Dec 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ustaarabu sio pesa useme ukionyesha utaibiwa. Mtu anaumwa siumpe pole na kama hutaki upite kimya kimya?
   
 16. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #16
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Pole sana. Kwasisi waislam, kuumwa ni sehemu ya ibada. Mshukuru mungu kwa kuumwa.
   
 17. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #17
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Pole sana Mkuu!
  Kabla maumivu hayajazidi, kamuone daktari!
   
 18. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #18
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Pole sana dogo, ulivyotaja kubanja nikamkumbuka Mr. Ebbo! Mungu amlaze mahala pema peponi. Amen.
   
 19. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #19
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hivi ndugu yangu what do you have in mind, kumpa mtu pole huku unamtajia marhem?
   
 20. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #20
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  alivyosema kubanja ndiyo nikakumbuka.
   
Loading...