Jamani Nasema kilicho moyoni kuhusu Wanaume

Jamani Nasema kilicho moyoni kuhusu Wanaume

wa kwanza wao ni wewe mwenyewe Judgement, akiufuatiwa na mkuu wa kitengo cha chumba simsemi atanirukia kama mjuisi, na wa mwisho ni waziri wa miundo mbinu wa mmu Je unawataka nikuorodheshee na wengine?
Kinachoendelea muda huu Bungeni ndiyo nadhani mtoamada anataka kukileta na hapa!
Kamati ya Lembeli iliyokua ikichunguza scandal ya Operation Tokomeza , imekuja na allegation za watuhumiwa , pasina kuwataja majina .
Na hapa ndiyo nnachokiona!
Taja majina ya hao wanaume .
 
Last edited by a moderator:
si kwamba nawatetea bali nimechunguza kwa makini sana majukwaa mbalimbali jukwaa la cc na mmu mmezidi kupost tu wanawake wanawake wanawake yaani kila siku ni wanawake tu hamna kingine cha kupost jamani? mnatutakiani?
Usiwe unawatetea wasichana wenzio na kuwapondea wanaume kumbe unataka uwasage!
 
wamezidi hawa watu ni bora kuwachamba hapa na tena kweupe maana wao kkila siku wakiamka mapema ni kuwapost wanawake wanawake tumewakoseani hawa na kingine cha maana cha kupost waje niwape darasa lao hapa na bado mpaka kieleweke ndo wataacha kutuandika andika ovyo hapa hatupumui jamani
Afadhari mana hatupumui
 
hapa sio uwanja wa kumisiana hata kama wewe nki shem wangu naomba uwe wakili wangu hapo baada kwani nataka kufungua kesi dhidi yenu nyie WANAUME wa jf mmezidi kutupost tu wanawake wanawake tumewakoseani hamna kitu kingine cha kupost hapa na nina RB no. 754 nasubiria tu 2014 kazi ianze
my akanana Passion Lady miss you.
 
wa kwanza wao ni wewe mwenyewe Judgement, akiufuatiwa na mkuu wa kitengo cha chumba simsemi atanirukia kama mjuisi, na wa mwisho ni waziri wa miundo mbinu wa mmu Je unawataka nikuorodheshee na wengine?

Dawa ya kupona yakwazayo ni kuvomit nyongo ktk ujumla wake! Nusunusu huponi . Wee tapika tu!
 
Last edited by a moderator:
wamezidi hawa watu ni bora kuwachamba hapa na tena kweupe maana wao kkila siku wakiamka mapema ni kuwapost wanawake wanawake tumewakoseani hawa na kingine cha maana cha kupost waje niwape darasa lao hapa na bado mpaka kieleweke ndo wataacha kutuandika andika ovyo hapa hatupumui jamani

Nduru za vyura hazina obsruction mandovu wasikate kiu !
Hatuna pengine pa kwenda wapata wanawake wapya!
Nyie ndo wanawake wetu ,tutamichambueni kila tujiskiapo!
Tusipowaongelea nyie wetu , tukawaongelee wanawake wa Ng'ombe ? Au wa Mbwa ?
Impossible quite!
 
wamezidi hawa watu ni bora kuwachamba hapa na tena kweupe maana wao kkila siku wakiamka mapema ni kuwapost wanawake wanawake tumewakoseani hawa na kingine cha maana cha kupost waje niwape darasa lao hapa na bado mpaka kieleweke ndo wataacha kutuandika andika ovyo hapa hatupumui jamani

Me nazani kuna baadhi ya post zina hoja na sio mtu kaamua kupayuka.Nature ilivyo man sio watu wa kuongea ngea sana..ila ukiona wamefunguka hujur upande wa pili unazingua..Gals wanazingua smtymd dats y watu huamua kufunguka
 
Usiumie kichwa kwa mmu stories dada angu..dat y hata user nem 99.9% fake dat means 99.9% ya stories za kule ni fake.
 
HABARINI WAUNGWANA MABESTITOOO

Natumai muwazima sana tena sana nimeona kabla ya kufunga mwaka 2013
niwape tena darasa upya hasa
WANAUME yaani mm nakereka sana nao
hawa watu kwani wao ni watu wa ajabu tena watu wanaoshangaza umma
na kama si jamii nzima iliyowauzunguka, ni watu wasio tabirika kabisa.

Hivi kwaniini nyie
WANAUME mmekuwa na tabia ya kuwasema sema sana wadada/
mama/wabibi zenu kiasi hicho, yaani imenibidi nikimbie kule MMU kwani kumejaa
kero, majanga na vitimbi visio na sababu yoyote kule wewe mtumzima kwanini
laikini unakuwa hivyo una jambo la msingi la kusemea kule mpaka uwatangaze
watu kama matangazo ya biashara kwanini mnakuwa hamna heshima yoyote
mmekosa staha kabisa wala adabu hamjui bila wamama nyie msingetokea
duniani jamani. Tungewakandamiza humohumo ndani na tusingewafyatua nyie

Nimetoa kero yangu ya moyoni na kuwatakia siku/mwezi na mwaka mpya mwema
ulio na mafanikio matumaini na matengenezo mapya maishani mwenu .

Na message ime:closed_2:

Kwa mwaka unaokuja tutabaki tukiwachungulia tu :behindsofa:
kuondoka kifastjet zaidi 😛lane:

Nawatakia kheri katika kuukaribisha mwaka 2014 nawapenda
na kama kuna wengine wataboreka na uzi huu wanisamehe ila uzi
huu umewafundisha msiendelee na hiyo tabia ya mwaka 2013
MUWE NA HESHIMA ADABU KWA WADADA/WAMAMA ZENU HUMU
MJENGONI ACHENI TABIA YA KUDHALILISHANA, KUDHARAULIANA
TUPENDANE NA TUTAKIANE KHERI NA BARAKA KWA KILA JAMBO.

TAMANI KUBADILIKA HASA MAKAKA/ MABABA / WANAUME WA JF

Wasalaamu;

Ladyf

eti ni kweli samaki mmoja akioza ni wote? Mbona na wewe mmbea hivyo? Ungewaachia wenyewe kule mmu mambo yao. Dah! Hayo mambo ya chumba cha jirani
 
Ni kama umeshatendwa sana na hawa ma brother naona kila ukija unawatolea uvivu sawa mwaya waambie wabadilike.
 
Back
Top Bottom