Jamani Nasema kilicho moyoni kuhusu Wanaume

Jamani Nasema kilicho moyoni kuhusu Wanaume

Mmmmh mbn na ww umetusema nadhani ungesema TUSISEMANE unless unaweza prove kua ME peeke yetu ndo tunawanga nyie na ukisema ivo press DELETE kwny hii thread.
 
sijatendwa shostito kabisa, wewe umeona wapi ladyf akitendwa labda niwatende mm
wanaboa sana na wanakera sana kwa tabia zao kwani wewe mamito huoni?
Ni kama umeshatendwa sana na hawa ma brother naona kila ukija unawatolea uvivu sawa mwaya waambie wabadilike.
 
dah umetusema sana tambua kua nyie ndio mnatuzaa na kutulea kwahiyo usingepaswa kutusema hivi by the way tutabadilika 2014 .
 
Back
Top Bottom