Jamani Nasema kilicho moyoni kuhusu Wanaume

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
HABARINI WAUNGWANA MABESTITOOO

Natumai muwazima sana tena sana nimeona kabla ya kufunga mwaka 2013
niwape tena darasa upya hasa
WANAUME yaani mm nakereka sana nao
hawa watu kwani wao ni watu wa ajabu tena watu wanaoshangaza umma
na kama si jamii nzima iliyowauzunguka, ni watu wasio tabirika kabisa.

Hivi kwaniini nyie
WANAUME mmekuwa na tabia ya kuwasema sema sana wadada/
mama/wabibi zenu kiasi hicho, yaani imenibidi nikimbie kule MMU kwani kumejaa
kero, majanga na vitimbi visio na sababu yoyote kule wewe mtumzima kwanini
laikini unakuwa hivyo una jambo la msingi la kusemea kule mpaka uwatangaze
watu kama matangazo ya biashara kwanini mnakuwa hamna heshima yoyote
mmekosa staha kabisa wala adabu hamjui bila wamama nyie msingetokea
duniani jamani. Tungewakandamiza humohumo ndani na tusingewafyatua nyie

Nimetoa kero yangu ya moyoni na kuwatakia siku/mwezi na mwaka mpya mwema
ulio na mafanikio matumaini na matengenezo mapya maishani mwenu .

Na message ime:closed_2:

Kwa mwaka unaokuja tutabaki tukiwachungulia tu :behindsofa:
kuondoka kifastjet zaidi 😛lane:

Nawatakia kheri katika kuukaribisha mwaka 2014 nawapenda
na kama kuna wengine wataboreka na uzi huu wanisamehe ila uzi
huu umewafundisha msiendelee na hiyo tabia ya mwaka 2013
MUWE NA HESHIMA ADABU KWA WADADA/WAMAMA ZENU HUMU
MJENGONI ACHENI TABIA YA KUDHALILISHANA, KUDHARAULIANA
TUPENDANE NA TUTAKIANE KHERI NA BARAKA KWA KILA JAMBO.

TAMANI KUBADILIKA HASA MAKAKA/ MABABA / WANAUME WA JF

Wasalaamu;

Ladyf
 
mimi nimeipenda mada na ujumbe utakua umepokelewa.ila naomba mwongozo niwote wenye tabia hizo?
 
ni wachache ambao wanawaambukiza na wengine wewe hujui kuwa samaki mmoja akioza ...................................
mimi nimeipenda mada na ujumbe utakua umepokelewa.ila naomba mwongozo niwote wenye tabia hizo?
 
Pole sana mkuu ila nadhani wewe unachukulia serious kila post unayoiona Jf naomba nikwambie kuwa siyo kila kitu hapa kiko kama unavyokiona watu wanamaisha yao halisi na ukipata kuwaona jinsi walivyo na heshima mtaani na jinsi wanvyowaheshimu wanawake huwezi amini. Ndiyo maana hapa wengi wanatumia majina yasiyo halisi. Pengine wanatumia uwanja huu kupotezea mawazo na kupunguza stress za maisha ila kihalisia siyo kama unavyodhani.
 
Kinachoendelea muda huu Bungeni ndiyo nadhani mtoamada anataka kukileta na hapa!
Kamati ya Lembeli iliyokua ikichunguza scandal ya Operation Tokomeza , imekuja na allegation za watuhumiwa , pasina kuwataja majina .
Na hapa ndiyo nnachokiona!
Taja majina ya hao wanaume .
 
Usiwe unawatetea wasichana wenzio na kuwapondea wanaume kumbe unataka uwasage!
 
ila kweli bana mmezidi kuwakosea wanawake kwa kila kona, utafikiri bila kufanya hivyo maisha yenu hayaendi!
 
HABARINI WAUNGWANA MABESTITOOO

Natumai muwazima sana tena sana nimeona kabla ya kufunga mwaka 2013
niwape tena darasa upya hasa
WANAUME yaani mm nakereka sana nao
hawa watu kwani wao ni watu wa ajabu tena watu wanaoshangaza umma
na kama si jamii nzima iliyowauzunguka, ni watu wasio tabirika kabisa.

Hivi kwaniini nyie
WANAUME mmekuwa na tabia ya kuwasema sema sana wadada/
mama/wabibi zenu kiasi hicho, yaani imenibidi nikimbie kule MMU kwani kumejaa
kero, majanga na vitimbi visio na sababu yoyote kule wewe mtumzima kwanini
laikini unakuwa hivyo una jambo la msingi la kusemea kule mpaka uwatangaze
watu kama matangazo ya biashara kwanini mnakuwa hamna heshima yoyote
mmekosa staha kabisa wala adabu hamjui bila wamama nyie msingetokea
duniani jamani. Tungewakandamiza humohumo ndani na tusingewafyatua nyie

Nimetoa kero yangu ya moyoni na kuwatakia siku/mwezi na mwaka mpya mwema
ulio na mafanikio matumaini na matengenezo mapya maishani mwenu .

Na message ime:closed_2:

Kwa mwaka unaokuja tutabaki tukiwachungulia tu :behindsofa:
kuondoka kifastjet zaidi 😛lane:

Nawatakia kheri katika kuukaribisha mwaka 2014 nawapenda
na kama kuna wengine wataboreka na uzi huu wanisamehe ila uzi
huu umewafundisha msiendelee na hiyo tabia ya mwaka 2013
MUWE NA HESHIMA ADABU KWA WADADA/WAMAMA ZENU HUMU
MJENGONI ACHENI TABIA YA KUDHALILISHANA, KUDHARAULIANA
TUPENDANE NA TUTAKIANE KHERI NA BARAKA KWA KILA JAMBO.

TAMANI KUBADILIKA HASA MAKAKA/ MABABA / WANAUME WA JF

Wasalaamu;

Ladyf

pole sana mdada,.

Ipeleke MMU mada hii ili ujumbe upate kuwafikia walengwa,..
 
Back
Top Bottom