Kuna nyumba choo kipo mita moja tu kutoka wanapokaa kina dada kupiga stori zao, za umbea, of course. Wanakuwa hapo kila siku kuanzia asubuhi hadi usiku; teleza na kuanguka usikie hivyo vicheko.
Sasa kuna huu ugonjwa wa kuhara ambao wengi wenu humu mnaumwa hapa tunapoongea; na mnajua fika kuwa huo ugonjwa huambatana na yale makelele kwa kuwa kila kitu hutoka kwa ghafla.....nyie ni watu wazima nnajua mnajua kuwa nazungumzia zile 'trab trap trap trab prtatataaaa preeeeee' n.k.
Hoja yangu; mkiwa kwenye mazingira ya nyumba iliyo sawa na mfano wangu huo hapo juu, mnatumia mbinu gani kupunguza au kuondoa kabisa aibu ya kelele za uharo wenu?
Karibuni wadau.