Jamani mimi ni kijana mwenzenu ntakufa

Jamani mimi ni kijana mwenzenu ntakufa

Kila mwanamke mzuli nitakae mwona mbele yangu natamani kushiriki nae tendo (sex) aijarishi ni umri gani.

Jamani nifanye nn ili nitoke kwenye hii stage maana binafsi siipendi hii hari na inanitesa sana mwenzenu naitaji msaada wenu wana JF.

Ikifikia wakati ukawa na majukumu makubwa basi utapunguza tamaa ya mwili
 
Kila mwanamke mzuli nitakae mwona mbele yangu natamani kushiriki nae tendo (sex) aijarishi ni umri gani.

Jamani nifanye nn ili nitoke kwenye hii stage maana binafsi siipendi hii hari na inanitesa sana mwenzenu naitaji msaada wenu wana JF.
we jamaa ni mimi kabisa sijui nina tatizo gani afu nkishalala na demu mara 2 namchukia kupita maelezo yaani nawapanga tu
 
Hahaha yaani when I was 18 to 22 ilikuwa ni disaster. .mbaya zaidi ukiwa una fanya sana ufuska inakuwa kama unanukia ngono ngono basi Unashangaa wanawake wanajileta tu. ..

Yaani Neno Uaminifu lilikuwa halina nafasi kabisa katika diary yangu --.... ila baada ya kujitambua kwa kina nashukuru naweza kuitumia akili yangu vyema pale moyo unapo jaribu kunipatia mashinikizo Hasi
Mm ngoja niendelee kuzibanjua nyuchi
 
Back
Top Bottom