hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,365
- 80,250
Hahaha don bwana - nadhani ile hatua kwa sisi wengine huwa Tuna kubali tu kuwa huyu mwanamke ni mzuri ----lakini yaweza kuwa akili yako imekubali uzuri wake lakini haijawa tayari kutamani kungonoka nae. ..I japo kuwa hilo hutokea kwa wachache. ...
Wajua Kuna wanaume wa kware na ambao sio wakware. ...So bila Shaka wewe itakuwa upo hapo kwenye wakware
Wajua Kuna wanaume wa kware na ambao sio wakware. ...So bila Shaka wewe itakuwa upo hapo kwenye wakware
Nadhani kuna kitu hakijawekwa sawa, kutamani ni nini?
Ukimwona mwanamke mzuri ukakubali kwamba ni mzuri, nini kinachokuja kichwani?
Achana na habari ya kusema umtongoze au la, nazungumzia ile hatua ambayo unajikuta unamfanyia assessment na kukibali kwamba analipa, he hiyo hatua unaitofautisha vipi na kutamani?