Jamani mimi ni kijana mwenzenu ntakufa

Jamani mimi ni kijana mwenzenu ntakufa

Kuna siku alishawahi kuniambia. .. nisiogope kufilisika huo ndio ukomavu wa akili. ...Jamaa haogopi kabisa kuitumia pesa aise.......

Kuna siku nikajifanya kuiga maneno yake nikamuhonga mwanamke 1 laki....Aisee usiku siku Pata usingizi kabisa mawazo kibao Nawaza hela zangu
Hahahahaaahaaa. Nimechoka kucheka bhanaaa.
Sasa si utahonga sana hadi ufilisike.
 
Sasa nifanyaje unadhani. ...ila huyu sikutajii aise. ..Maana nilipo gombana na yule shemeji yako wa awali ---nilivyo mleta kwako ili utusuluhishe Ukanipora
Hahahaha, khaa kwahy unataka umalizane huyo mdada kiroho safi sio
 
Kuna siku alishawahi kuniambia. .. nisiogope kufilisika huo ndio ukomavu wa akili. ...Jamaa haogopi kabisa kuitumia pesa aise.......

Kuna siku nikajifanya kuiga maneno yake nikamuhonga mwanamke 1 laki....Aisee usiku siku Pata usingizi kabisa mawazo kibao Nawaza hela zangu
Hahahaha, asee pole Sana ila ndio ukubwa huo Mkuu
 
Kuna siku alishawahi kuniambia. .. nisiogope kufilisika huo ndio ukomavu wa akili. ...Jamaa haogopi kabisa kuitumia pesa aise.......

Kuna siku nikajifanya kuiga maneno yake nikamuhonga mwanamke 1 laki....Aisee usiku siku Pata usingizi kabisa mawazo kibao Nawaza hela zangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uuuuuuuuuuuwi.
Ukalala umesimamaaa. mtu chake siyo vizuri hivyo ujue
 
Yaani next day ilibidi nitafute pharmacy ilipo ni kaenda kununua pilton
 
Sasa nifanyaje unadhani. ...ila huyu sikutajii aise. ..Maana nilipo gombana na yule shemeji yako wa awali ---nilivyo mleta kwako ili utusuluhishe Ukanipora
Haki sikuwahi kujua kama wewe una vituko namna hii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti "ila huyu sikutambulishi" you made my daaay
 
Hahaha. .enjoy. .sometimes huwa nakuwaga mwezi mchanga. ...ila mwezi ukiisha na kuwa serious mithili ya sanamu la posta

Back
Top Bottom