Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,970
- 100,127
Hahahaha, huwa nakukukubali Sana MkuuHahaha. .enjoy. .sometimes huwa nakuwaga mwezi mchanga. ...ila mwezi ukiisha na kuwa serious mithili ya sanamu la posta
Hahahaha, huwa nakukukubali Sana MkuuHahaha. .enjoy. .sometimes huwa nakuwaga mwezi mchanga. ...ila mwezi ukiisha na kuwa serious mithili ya sanamu la posta
Hataki nimjue Shem wanguHaki sikuwahi kujua kama wewe una vituko namna hii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti "ila huyu sikutambulishi" you made my daaay
Hahah hahaha hahaha hahahahahha. Sasa wewe haukuniambia mapema jamani.
Daah asante sana. Natumai siku nyingine mwezi ukiwa mchanga nitacheka tena.Hahaha. .enjoy. .sometimes huwa nakuwaga mwezi mchanga. ...ila mwezi ukiisha na kuwa serious mithili ya sanamu la posta
Hataki nimjue Shem wangu
Tatizo unamnyang'anyaaHataki nimjue Shem wangu
Daah asante sana. Natumai siku nyingine mwezi ukiwa mchanga nitacheka tena.
Hapo ndiyo penyeweee.[emoji23][emoji23][emoji23]Aah hilo - simple tu ''Utaweza kulirekebisha...tumia ile mbinu ya kupata olive oil. .Halafu muambie muonane. .Kisha kaa kama yule dada aliye zibwa na glass alivyo kaa
Hahaha. ..mimi pia mkuu much respect kwakoHahahaha, huwa nakukukubali Sana Mkuu
18-6 nitakutafuta tare 18-7-2019Hahaha. ..subiri nitafute mwezi ujao tarehe kama hizi
Hapo ndiyo penyeweee.[emoji23][emoji23][emoji23]
18-6 nitakutafuta tare 18-7-2019
Himeweka alama kabisa.
Pamoja MkuuHahaha. ..mimi pia mkuu much respect kwako
Hahahaha, hapana siwezi kumnyang'anyaTatizo unamnyang'anyaa
Maelezo yake yanaukakasi mkuu, "kila mwanamke haijalishi umri. [emoji26] [emoji26][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii kali Boss
Huyo ndiye lecture wa zero iq na gudume. ..ila huwa hataki promo
WE unaliiitaje ilo kama sio tatzoKwani hilo nalo ni tatizo
Mbona umeni quote na mimi?WE unaliiitaje ilo kama sio tatzo
Duuh sasa wwFika kwenye jumba langu la maombi siku ya Alhamisi. Saa sita kamili mchana.
Ukiwa na kuku mweusi na paka mwekundu.
Sorry mkuuMbona umeni quote na mimi?