Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,732
- 99,594
Hahahaha, aseeHuyo ndiye lecture wa zero iq na gudume. ..ila huwa hataki promo
Hahahaha, aseeHuyo ndiye lecture wa zero iq na gudume. ..ila huwa hataki promo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe haujafanikiwa kuwa mwanafunzi wake? Au ulikosa vigezo?
Hahahaha, ngoja niwaacheHaha mimi league ndogo. .nilikosa vigezo aise
Haha najua una kwenda kwenye ule uzi wenu. .wa manguliHahahaha, ngoja niwaache
Hahahaha, upi huo MkuuHaha najua una kwenda kwenye ule uzi wenu. .wa manguli
Hahahaha, upi huo Mkuu
Hahahaha, zile nyuzi za wababe ,ila mie sio mbabe,si bebe totoz wala Dada ya mtuKuna ule ule uzi maalum kwa wanywa pombe. . Jf usiku wa manane. Na makapuku. ..yaani kule Mmejaa Ma star wa tupu. ..mna tubebea sana dada zetu. .manina nyie
...mzuli❌Kila mwanamke mzuli nitakae mwona mbele yangu natamani kushiriki nae tendo (sex) aijarishi ni umri gani.
Jamani nifanye nn ili nitoke kwenye hii stage maana binafsi siipendi hii hari na inanitesa sana mwenzenu naitaji msaada wenu wana JF.
Hahahaha, zile nyuzi za wababe ,ila mie sio mbabe,si bebe totoz wala Dada ya mtu
Kwamba wewe ni wa ligi za mchangani[emoji23][emoji23]?Haha mimi league ndogo. .nilikosa vigezo aise
Kwamba wewe ni wa ligi za mchangani[emoji23][emoji23]?
HahahahaNdio yaani viwango vidogo. . Kwenye team yakina mtu chake naishia kuokota mipira tu
Kufuata mpira ukienda mbali[emoji23][emoji23][emoji23].Ndio yaani viwango vidogo. . Kwenye team yakina mtu chake naishia kuokota mipira tu
Kufuata mpira ukienda mbali[emoji23][emoji23][emoji23].
Na kuwa bebea jezi zao
Hahahaha, mkuu hearly unanimaliza ujue, hapa nacheka mpk Bantu bananishangaaKufuata mpira ukienda mbali[emoji23][emoji23][emoji23].
Hahahaha, sasa unamtisha cute b ujue ,na wewe ulitaka kula wanavyokula kaka zako?Hahaha mimi najaribu kumueleza cute b ukweli tu. .kuwa level zenu ni za matawi ya juu cha kula cha twiga mimi sifui dafu
Au labda na wewe uanze kuhudhuria zile nyuzi zao z a kibabe upate kauzoefu.Na kuwa bebea jezi zao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha mimi najaribu kumueleza cute b ukweli tu. .kuwa level zenu ni za matawi ya juu cha kula cha twiga mimi sifui dafu
Kwani ni vibaya?[emoji23][emoji23]Hahahaha, sasa unamtisha cute b ujue ,na wewe ulitaka kula wanavyokula kaka zako?