Jamani mimi ni kijana mwenzenu ntakufa

Jamani mimi ni kijana mwenzenu ntakufa

Hahahaha, sasa unamtisha cute b ujue ,na wewe ulitaka kula wanavyokula kaka zako?
Hahaha namtisha nini! ? Mnashindagwa kitu nyinyi. ..mtoto wa kike kama huyo akileta complain ana pewa bahasha iliyojaa milion una muambia akanunue mahitaji ya ndani. ..kesho utampatia 500k ya salon. ..unadhani atakuwa na uwezo wa kuhoji tena hapo...?..

wakati huo huo umesha muambia kuwa chombo IST ipo ndani ya maji inakuja na meli. .....Hapo atakuwa ana kuogopa na kukuheshimy kama vile IGP
 
Kila mwanamke mzuli nitakae mwona mbele yangu natamani kushiriki nae tendo (sex) aijarishi ni umri gani.

Jamani nifanye nn ili nitoke kwenye hii stage maana binafsi siipendi hii hari na inanitesa sana mwenzenu naitaji msaada wenu wana JF.
Kuwa na stara
 
Ila naonaga ukiacha ghafla utaalibika sana sura kwa chunus yan acha taratibu na angalia ukitaman bas jitaid kusex mala moja moja mana itakudhuru ukiishia kutaman
 
Hahaha namtisha nini! ? Mnashindagwa kitu nyinyi. ..mtoto wa kike kama huyo akileta complain ana pewa bahasha iliyojaa milion una muambia akanunue mahitaji ya ndani. ..kesho utampatia 500k ya salon. ..unadhani atakuwa na uwezo wa kuhoji tena hapo...?..

wakati huo huo umesha muambia kuwa chombo IST ipo ndani ya maji inakuja na meli. .....Hapo atakuwa ana kuogopa na kukuheshimy kama vile IGP
Mmmmmh, sio kihivyo Mkuu
 
Hahaha huwa wakioniona wanaacha kuchat. ...utasikia mtu chake ana anzisha. .

Jamani usiku mwema. .basi na wengine wote wanafuatia. ...Wewe unadhani mimi nilikuwa sipendi kuwa karibu na UARIDI?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uwiiiii hadi mbavu zinaniuma. Hivi unajua nimecheka saanaaa. Eti wanaacha kuchati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Daah Leo umejua kunichekesha haki tena
 
Hahaha namtisha nini! ? Mnashindagwa kitu nyinyi. ..mtoto wa kike kama huyo akileta complain ana pewa bahasha iliyojaa milion una muambia akanunue mahitaji ya ndani. ..kesho utampatia 500k ya salon. ..unadhani atakuwa na uwezo wa kuhoji tena hapo...?..

wakati huo huo umesha muambia kuwa chombo IST ipo ndani ya maji inakuja na meli. .....Hapo atakuwa ana kuogopa na kukuheshimy kama vile IGP
Yaani wewe[emoji23][emoji23]ni!echeka sana haki.

Tena namwambia babe achana na hearly hata siwezi kumwamini.
 
Hahaha ndio hivyo hawataki kutuambukiza Tabia zao. ..wanajua kuwa na sisi tukijua. ..tutakuwa kama wao tuta kuwa tuna watafuna So Tutaanza kuvimbiana humu --

Tutakuwa sawa na ukoo wa kambale kila mtu ndevu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uwiiiii hadi mbavu zinaniuma. Hivi unajua nimecheka saanaaa. Eti wanaacha kuchati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Daah Leo umejua kunichekesha haki tena
 
Hahaha ndio hivyo hawataki kutuambukiza Tabia zao. ..wanajua kuwa na sisi tukijua. ..tutakuwa kama wao tuta kuwa tuna watafuna So Tutaanza kuvimbiana humu --

Tutakuwa sawa na ukoo wa kambale kila mtu ndevu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Unatakiwa uwe unaenda ukinyataaa. Ukifika unawasoma tuu bila kuongea.
 
Kila mwanamke mzuli nitakae mwona mbele yangu natamani kushiriki nae tendo (sex) aijarishi ni umri gani.

Jamani nifanye nn ili nitoke kwenye hii stage maana binafsi siipendi hii hari na inanitesa sana mwenzenu naitaji msaada wenu wana JF.
Msaada ni kitenda lakini tendo salama.ni ngumu kujizuia hasa ukiwa na pepo kichwani,na ujana huishi jirani na mapepo
 
tamani tuu....then nenda kwa mangi..nunua revola.....ingia gheto download mmoja mmoja.......utatulia tuu
 
Back
Top Bottom