😂😂😂😂😂😂Nilitegemea awe kwenye kampeni kuikàndia Chadema, simsikii!
Yuko wapi?
Yule jamaa ni mjanja sana.Nilitegemea awe kwenye kampeni kuikàndia Chadema, simsikii!
Yuko wapi?
😁😂🤣😀Toilet paper 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli naye simsikiiList ni ndefu
Yuko wapi Peneza
😀🤣😂😅😃😄Cccm ina wahuni wa kutosha awamu hii Msigwa kitu gani!.
Hakuwa na tatizo na CHADEMA as a whole. Alikuwa na tatizo na Ayatollah Mbowe!Nilitegemea awe kwenye kampeni kuikàndia Chadema, simsikii!
Yuko wapi?
Wamenunua toilet paper nyingine chapa WengeNilitegemea awe kwenye kampeni kuikàndia Chadema, simsikii!
Yuko wapi?
Alichagulishwa upande ambao nafsi yake imeukataa na nafsi inamsuta, hana amani ya maisha tena na hana uhuru wa dhamiri,Nilitegemea awe kwenye kampeni kuikàndia Chadema, simsikii!
Yuko wapi?
Huyu mbilikimo kazi yake ilikuwa kumshambulia Mbowe tu, baada ya Mbowe kutolewa kwenye uenyekiti na hatimaye kuunga juhudi kimya kimya automatically Msigwa akakosa hoja hivyo kuwa mzigo tu ndani ya CCM.Nilitegemea awe kwenye kampeni kuikàndia Chadema, simsikii!
Yuko wapi?
CCM wamepata ingizo jipya, wenje.Nilitegemea awe kwenye kampeni kuikàndia Chadema, simsikii!
Yuko wapi?
CCM inakutumia mara unapotoka kwenye chama chako ili ukiseme vibaya. Ukishakaa unakuwa huna jipya. BTW Msigwa alikuwa amefanya ajenda yake kubwa ni Mbowe lakini kwa bahati mbaya kwake Mbowe sasa hivi ni kipenzi chao. Ni sawa na mama mmoja anaitwa Juliana Shonza, alitoka CHADEMA akawa anafanya ajenda yake ni CHADEMA, sasa hivi hana jipya.Kweli naye simsikii