Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 15,727
- 50,082
Hana maajabu kivile, hawa waliokua top layer ya CHADEMA wengi wao wamekua diluted na CCM ili wasimkosoe mazaAnasubiri teuzi .
Labda mambo yaharibike sana, Kwa sauti ya JK.
Hana maajabu kivile, hawa waliokua top layer ya CHADEMA wengi wao wamekua diluted na CCM ili wasimkosoe mazaAnasubiri teuzi .
Labda mambo yaharibike sana, Kwa sauti ya JK.
Alikuwa mwanasiasa mzuri sana enzi zake Msigwa jamani, What a loss!Hana maajabu kivile, hawa waliokua top layer ya CHADEMA wengi wao wamekua diluted na CCM ili wasimkosoe maza
CCM wapo vizuri sana kwenye timing washamtuliza mzee wa watuAlikuwa mwanasiasa mzuri sana enzi zake Msigwa jamani, What a loss!
Mchungaji anaandama na mgombea mwenza, bwana ima kwenye kampeni kiini macho.List ni ndefu
Yuko wapi Peneza
A very good observationNi kama mtoto akipata mdoli mpya ile midoli ya zamani huwa inasahulika, Sasa hivi wanamchezea, Wenje kwanza 😃