LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 26,826
- 41,325
Bora akae kimya tu huko aliko kwenye chama chake kipya kuliko wenje anayepayuka hovyo kuikandia chadema kana kwamba hakuwa kiongozi mkuu mwandamizi. Anakosa heshima hata huko anakopayukia. Sijui alisoma wapi huyu mjuba mropokaji kiasi hiki. Peter Msigwa asiikandie chadema huko aliko ili atunze heshima yake