mkuu Mimi nina akili zangu bwana.nakuuliza ccm miaka 50
lowasa serikalini miaka 35
ulizia amefanya nini ambacho unakiona kila kona ya nchi hii,
sitegemei Kuwa ccm kwa miaka 50 imekuwa ikitegemea skills and efforts of individuals badala ya team(team work) or system.du kazi kweli kweli