Kojo Dowido
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 354
- 111
kumbe walimpigia kura....
Inategemea kupigiwa kura unakuelezea je? Kupigiwa au kupiga kura kuko kwa aina nyingi. Ila kama uelewa wako wa kupigiwa kura ni kama wa lowasa ni ngumu kumeza kilichotokea dodoma. Baki na hili£, nani aliondoka ccm wao au yeye?