mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,724
nawashauri gwajima ongezeni ya ya kakobe maigizo lakini ikulu takatifu shetani kamwe haingii,
ikulu sio takatifu ;ingekuwa takatifu ben,jakaya wasingefany biashara haram
nawashauri gwajima ongezeni ya ya kakobe maigizo lakini ikulu takatifu shetani kamwe haingii,
vijiji vya wapi mkuu labda ya moshi na arusha ,nenda nyanda za juu kusini ,njoo kanda ya ziwa vijijini uone,unachekesha wewe,
ahahahaaa hana nyota msijidanganye watu wanakwenda kuangalia mgonjwa afya yake ikoje
nyota ya wapi misukule ya gwajima ndo inamsaidia ,kipi alichonacho maana hata kuongea anazidiwa na mtoto wa form one.
Inayo m beba EL siyo nyota bali anaitumia vema fursa ya kwamba bado watz wengi wamelala na bado ni wavivu wa kufikiri
Mkuu Nchimbi na Serukamba ndo walisaidia angalau tukapata 15%, wengine wote walimpendelea Mafuguuli!!Mkuu hapo mtoe Nchimbi sina imani nae weka kinana.
Naamini %100 raisi ni Lowassa
Amen! Amen! Amen!Sio mwaka wa Lowasa tu bali ni mwaka wa Mungu kuikomboa nchi yake nzuri kutoka kwa wezi
Aweza kuwa na nyota ya watu lakini si ya kura dodoma wote tuliona pamoja na jeuri na kibri chake cha pesa, eti asiye nitaka ccm aondoke yeye. Hakupata kura na akaishia kuikimbia ccm yeye, sasa mshaurini asije akakimbia na tanzania.
nyota ipi huyo majini ya gwajima yanamsaidi mimi nachokwambia pamoja na yote hayo hata iweje magufuli ndo rais ,kama unabisha note id yangu tarehe 29 ,oct nitafute,
Tunakusaidia, kasome Biblia Luka 19 panaelezwa habari ya Zakayo na Yesu Kristo..hata Lowassa anaweza onekana kama Zakayo kwa macho ya kibinadamu, lakini sasa ni mtu mpya ataturudishia watanzania utumishi bora kutatua yale ambayo ccm wameshindwa kwa miaka zaidi ya 50!! tafakari inawezekanaje taifa lenye neema na fursa nyingi kwa kila kitu lakini hadi leo tunaishi kwa mgao wa umeme????? hivi nyinyi mnaosifia ccm mnafikiri kweli..! Rais Kikwete kati aliyoahidi wakati aliingia madarakani ni kumaliza tatizo la umeme..kiko wapi????kwa mfano huu tu unawezaje kuamini maneno ya mgombea wa ccm???? H A I W E Z E K A N I..inabidi tubadilishe CHAMA. hilo ndio jibu!lowas anamambo mawili ambayo hayakubaliki hata mbele za mungu.
1,fisadi tena la karne maana tangu enzi
2,mafya ,ugonjwa wa mwakyembe
3,gwajima maigizo,
,taifa hili ni la mungu lowasa kamwe hawezi kuongoza nchi hii,