Jamani Lowassa ana "nyota"

Jamani Lowassa ana "nyota"

Nabii Mussa hakuwa fisadi
Muulize Magufuri ufisadi alioufanya kwa kuuza nyumba za serikali kwa bei cheeee
Waulize rafiki zako pesa za Escrow zilikwenda wapi? Lowassa alikuwemo?
Mtamfitini sana baba wa watu ila mwisho ndo Rais wenu maana watanzania tushafanya maamuzi nayo ni kuiondoa ccm madarakani.
Now is the time for Change
viva Lowassa
Viva Ukawa
tukutane october 25
 
vijijini wanampenda sana lowassa, kuliko mijini. Kwa kweli watanzania tumshukuru mungu kwa kutuletea mpambanaji halisi dhidi ya umaskini. The light at the end of the tunnel

vijiji vya wapi mkuu labda ya moshi na arusha ,nenda nyanda za juu kusini ,njoo kanda ya ziwa vijijini uone,unachekesha wewe,
 
nyota ya wapi misukule ya gwajima ndo inamsaidia ,kipi alichonacho maana hata kuongea anazidiwa na mtoto wa form one.


Mkuu hebu nenda pale jangwani kuhutubia, na kama utapata watu 50 nakupa zawadi.
 
muulize magufuri ufisadi alioufanya kwa kuuza nyumba za serikali kwa bei cheeee
waulize rafiki zako pesa za escrow zilikwenda wapi? Lowassa alikuwemo?
Mtamfitini sana baba wa watu ila mwisho ndo rais wenu maana watanzania tushafanya maamuzi nayo ni kuiondoa ccm madarakani.
Now is the time for change
viva lowassa
viva ukawa
tukutane october 25

tatizo lenu hamjui muulize sumaye swala la kuhuza nyumba atakupa majibu acha kusoma magazeti ya udaku na kujifanya unajua,

hakuna anayemfitini
hana uwezo hata wa kuhutubia bunge ,siri zimevuja eti kwa uzaifu wa kuhutubia sherehe za muungano anapanga kuvunja muungano imekula kwake,
 
nawashauri gwajima ongezeni ya ya kakobe maigizo lakini ikulu takatifu shetani kamwe haingii,

Hehehe....yaani ikulu ya Tanzania ndio waiita takatifu?

Kichwa yako itakuwa ina matatizo au huna ufahamu na jambo ulitajalo...
 
Nabii Mussa hakuwa fisadi

Musa alikuwa fisadi kama mtoto wa pharaoh .akiwafisadi wana wa Israel .kabla ya kubadilishwa na kuwa mkombozi wa waisraeli .rudi kasome vizuri.Lowasa ndio sisi .sisi ndio Lowasa
 
ukisikia gwajima amekufa leo lowasa akisimama mbele za watu wanamtemea mate,
mambo ya madude,
 
10994068_779231125521197_5326127992847284007_n.png 11702814_779231115521198_6210363483114886827_n.png COKFPjzWIAAEbxc.jpg
 
kanone nyanda za juu kusini zipi ilipo au kwenye mfereji wa maji machafu? huku ni lowassa tu nashukuru umeshaanza kutambua hata nguvu za gwajima
 
vijiji vya wapi mkuu labda ya moshi na arusha ,nenda nyanda za juu kusini ,njoo kanda ya ziwa vijijini uone,unachekesha wewe,

Nimeenda Ipalamasa, Lyambamgongo, Dutwa, Mwandama, Jojilo, Nyehunge kote huko habari ni Lowassa. Huku kusini ndio usiseme, watu hawaambiliki. Lazima huu mwaka tuwashangazeeeee
 
Nimeipenda command yake kwamba mnunuzi aliyenunua tumbaku asipolipa kabla ya mwezi wa 11 akichaguliwa mnunuzi huyo atalipa mara 2.
Kweli huyu bwana anatufaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom