Jamani Lowassa ana "nyota"

Jamani Lowassa ana "nyota"

Nimeangali "nyomi" ya watu waliohudhuria mkutano wa Lowassa huko Tabora kupitia ITV muda huu,sikuamini nilichokiona hasa ukizingatia mkoa wenye ni Tabora(ngome ya CCM).

Lowassa kama Mussa katika Biblia.

Mwenye picha atusaidie kuziweka hapa jukwaani.

Lowassa ni shidaaaaaa!Padri mzinifu kakimbia
 
musa alikuwa fisadi kama mtoto wa pharaoh .akiwafisadi wana wa israel .kabla ya kubadilishwa na kuwa mkombozi wa waisraeli .rudi kasome vizuri.lowasa ndio sisi .sisi ndio lowasa

lowas ndo nye mafisadi na mafisadi ndo lowasa,pingeni mboyoyo zenu zote lakini

amiri jeshi mkuu na mwenye viwango ni magufuli ,mgojwa wenu mwambie aendele kutoa hotuba zake kwenye websit.

 
Kwa Hisani ya ITV fb page
 

Attachments

  • 1441475888850.jpg
    1441475888850.jpg
    70.5 KB · Views: 596
  • 1441475908878.jpg
    1441475908878.jpg
    21.6 KB · Views: 505
  • 1441476004766.jpg
    1441476004766.jpg
    94.6 KB · Views: 525
  • 1441476039771.jpg
    1441476039771.jpg
    98.7 KB · Views: 521
Mkuu wapiga kura wa lowasa wako katika makundi kadhaa,
1.Wanachama wa vyama vinavyounda ukawa.
2.Wananchi wasio na vyama lakini wanaunga mkono ukawa(hawa ndio wengi)
3.Wananchi wasioipenda ccm tu kwa kushindwa kutimiza matakwa yao.
4.Wana CCM ambao wanamapenzi na Lowasa,hawa bado wako ccm lakini box la kura ni Lowasa mfano Mama mwenyenyumba yangu,siku ya Magufuri jangwani alikuwa mstari wa mbele lakini kila siku anasema atampigia Lowasa.
5.Watu ambao walikuwa hawapigi kura kwa madai ata wakipiga ccm itashinda maana wapinzani watagawana kura,mwaka huu wameiona fursa chini ya ukawa.
 
Ukweli watanzania wa sasa wanataka mabadiliko na wamechoshwa na mfumo wa ccm kwa sasa Wameamua hilo ndilo lililoko vichwani mwao
 
hilo nyomi ndo linawafanya ccm waumwe matumbo ya kuhara
 
We will vote for Lowassa, kila anapokwenda yeye ni nyomi tu

Sifa mnazompa kutokea huku Dar zinawafanya wavutike kumsikiliza.Bahati mbaya wakifika mikutanoni kumsıkiliza anawaungusha.Wengne wanaenda kumwona mkuu wa Mafisadi jinsı alivyo.Alaikı kubwa ya Tabora haikuwa na hamasa licha ya wingı wao.
 
hana nyota yoyote gwajima ndo anamsaidia lakini tutaomba usiku na mchana rais anaetengemea miujiza ya gwajima hautfai,

Sema yote dada we sema tena tunaomba gwajima azidishe miuza ili na bibi zetu mimi na wewe wampe kura lowasa maana wewe na mmeo najua mtampa lowasa ila hapa upo unachokoza maada tu ili watu wachangie sina shaka na wewe mwana ukawa.
 
mkuu wapiga kura wa lowasa wako katika makundi kadhaa,
1.wanachama wa vyama vinavyounda ukawa.
2.wananchi wasio na vyama lakini wanaunga mkono ukawa(hawa ndio wengi)
3.wananchi wasioipenda ccm tu kwa kushindwa kutimiza matakwa yao.
4.wana ccm ambao wanamapenzi na lowasa,hawa bado wako ccm lakini box la kura ni lowasa mfano mama mwenyenyumba yangu,siku ya magufuri jangwani alikuwa mstari wa mbele lakini kila siku anasema atampigia lowasa.
5.watu ambao walikuwa hawapigi kura kwa madai ata wakipiga ccm itashinda maana wapinzani watagawana kura,mwaka huu wameiona fursa chini ya ukawa.

mkuu izo takwimu unazitoa kwenye kybod yako nini ,mbona lowasa amekuja kwetu ludewa ni aibu ,uliza mtu aliyeko mbea akwambie adi juzi sugu ameanda kungoa mabango ya magufuli soko la mwanjelwa,hadi sasa
magufuli ankubalika kwa asilimia 85% nchi mzima,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom