Jamani Lowassa ana "nyota"

Jamani Lowassa ana "nyota"

Mambo yote yanatoka kwa Mungu. Wakati wa historia yake mengi yameelezwa kuhusu yeye kuwa kiongozi akianzia kiongozi wa bendi ya shule, Prefect au kiranja na mengineyo. Hata CCM wafanyeje Lowassa ndiye Rais wa awamu ya tano. Wananchi wanaichukia sana CCM kuhusu maisha bora kwa kila mtanzania.
 
sifa alizo nazo Lowassa kila mtu anataka kumuona ili kushangaaa.
Akitumia fursa hiyo ya watu kuja kumshangaa na akatangaza na kushawishi watu kwa sera nzuri na nmna ya kuzitekeleza anaweza kufika mbali!
Lakini hapo watu wanfika kumshangaa huyu mtu king'ang'anizi hivi aliyekatwa na CCM na bado yupo na anautaka uongozi wa taifa hili tena kwa gharama kubwa, anataka kufanyanje??
Je ana machungu sana na watanzania au anataka heshima[status] tu??
 
Kama ulivyo kilaza au sio

mkuu mimi sio kilaza najitambua ndio mana kwangu ni utaifa kwanza badala ya kufuata mkumbo kabla ya kupambanua, inawezekana wewe ni miongoni mwa wale Ben aliowaita nani vile...!!!
 
nyomi ipi alikua hapa ludewa kilichomkuta hatakanyaga tena nyie leo mumeona hiyo sehemu ya tabora ndo mumechanganyikiwa,
piga simu huko ulizia population ya huko ili ujue unachokisema na hata hiyo bado ni nusu kwa nusu na magufuli maana ndo unaanza kanda,

hukunielewa mkuu!!!
 
Anayesema lowassa Ana nyota , hebu anishawishi kwanza maana sijawahi kuona tapishi likawa na virutubisho hata siku moja.

Huo mzoga unaotoa harufu nyie mnamtetea hamjui maslahi ya gwajima kwa lowassa Mbona mnafanywa misukule?

Yule ni binadamu nini chakumuita mzoga...
Anyway..nitachagua mzoga
 
si nyota tu bali..
1-natural leader
2-anaguswa na matatizo hata ya watu wa chini..
nani kaguswa na babu sea?
nani kaguswa na wakulima malofa wa mahindi ?
nani kaguswa na mashekhe ?
 
Tunaona wengine wanabeba wasanii kibaooooo ili kukwepa aibu ya kukosa watu lkn Mzee El kila aendako watu kibaoo
 
nyanda za juu kusini unamanisha mikoa kama mbeya sio, njoo uone watu wanavyompenda lowassa mimi hapa nipo isongole ileje mpakani mwa tz na malawi huku kila mtu lowassaaaaaa
Mwambie huyo, juzi nimepita mwakaleli kule kwa Mwandosya ni cdm kwa kwenda mbele ndio maana hata Mwandosya kaona isiwe taabu kaachia ngazi.
 
Sala.

Tunakwenda kufungua kufuli zote na kumwaga pombe zote zilizowekwa na ccm, Mungu ibariki Tanzania. , mungu ibariki ukawa, mungu mbariki mgombea urais lowassa,

Ukawa oyeeeee.

Pamoja sanaaa
 
nawashauri gwajima ongezeni ya ya kakobe maigizo lakini ikulu takatifu shetani kamwe haingii,

Na mtasema yote mwaka huu....Baadaye mtajikuta mnakiri kuwa kikwete alikuwa anaongoza kwa nguvu za sheikh yahaya ndo maana katufikisha hapa na yeye hajawahi kukanusha
 
ha ha mnajifanya hamuoni mafuruko ya magufuli mara tatu kwa siku .yaani bado mnasema ukawa watashinda wakati hamwatafti wapiga kura chimbo
 
Nimeangalia "nyomi" ya watu waliohudhuria mkutano wa Lowassa huko Tabora kupitia ITV muda huu,sikuamini nilichokiona hasa ukizingatia mkoa wenyewe ni Tabora(ngome ya CCM).

Lowassa kama Mussa katika Biblia.

Mwenye picha atusaidie kuziweka hapa jukwaani.

KABISA MKUU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom