Jamani Lowassa ana "nyota"

Jamani Lowassa ana "nyota"

sema yote dada we sema tena tunaomba gwajima azidishe miuza ili na bibi zetu mimi na wewe wampe kura lowasa maana wewe na mmeo najua mtampa lowasa ila hapa upo unachokoza maada tu.

rais anayetegemea majini kuongoza nchi kamwe siwezi kumpa kura mpeni nyie misukule yake,llakini haitasaidia,
 
mkuu izo takwimu unazitoa kwenye kybod yako nini ,mbona lowasa amekuja kwetu ludewa ni aibu ,uliza mtu aliyeko mbea akwambie adi juzi sugu ameanda kungoa mabango ya magufuli soko la mwanjelwa,hadi sasa
magufuli ankubalika kwa asilimia 85% nchi mzima,

Ahaaaaa,hauoni aibu kuidanfanya nafsi yako?Umeona kilichotokea leo taifa?
 
Ukilinganisha na Makufuli mwenye nyota ya chips mayai huyu jamaa muziki wake ni mnene!! leo nilikuwa hapo Uwanja wa taifa ktk game lohhh, nilichokiona sikutegemea ile atmosphere, Peoplesss hijacked the stadium in a buzzing style!! sorry Makamba!!
 
kwani lowasa ni fisadi?? Kama ndio mbona hajaukumiwa??

lowas anamambo mawili ambayo hayakubaliki hata mbele za mungu.
1,fisadi tena la karne maana tangu enzi
2,mafya ,ugonjwa wa mwakyembe
3,gwajima maigizo,

,taifa hili ni la mungu lowasa kamwe hawezi kuongoza nchi hii,
 
mkuu izo takwimu unazitoa kwenye kybod yako nini ,mbona lowasa amekuja kwetu ludewa ni aibu ,uliza mtu aliyeko mbea akwambie adi juzi sugu ameanda kungoa mabango ya magufuli soko la mwanjelwa,hadi sasa
magufuli ankubalika kwa asilimia 85% nchi mzima,

haahaaa 85%??????????
tupe methodology ya tafiti yako na sample size.
usijipe moyo kwa mambo ya uongo dada..

Lowasa unawapa shida sana.
 
nyota ya wapi misukule ya gwajima ndo inamsaidia ,kipi alichonacho maana hata kuongea anazidiwa na mtoto wa form one.

Kwa Akili yako ya kubemendwa unadhani kuongea sana ndio sifa ya kiongozi bora.Lowasa atoshaaaaa
 
Nimeangali "nyomi" ya watu waliohudhuria mkutano wa Lowassa huko Tabora kupitia ITV muda huu,sikuamini nilichokiona hasa ukizingatia mkoa wenye ni Tabora(ngome ya CCM).

Lowassa kama Mussa katika Biblia.

Mwenye picha atusaidie kuziweka hapa jukwaani.
Makamba nusura avunje pambano la mpira wa miguu Kati ya stars na Super Eagles baada ya kuingiza habari za choo uwanjani
 
Sawa tukutane tarehe 25 oktoba.angalizo tu msije mkasema kura zimeibiwa hatutaelewana hapo.
 
lowas anamambo mawili ambayo hayakubaliki hata mbele za mungu.
1,fisadi tena la karne maana tangu enzi
2,mafya ,ugonjwa wa mwakyembe
3,gwajima maigizo,

,taifa hili ni la mungu lowasa kamwe hawezi kuongoza nchi hii,

Pole sana kwa muweweseko, Lowasa ndiye rais Wa Tz
 
Makamba nusura avunje pambano la mpira wa miguu Kati ya stars na Super Eagles baada ya kuingiza habari za choo uwanjani
Huyu dogo naye kabebwabebwa sn ndo hicho kichwa
 
ukilinganisha na makufuli mwenye nyota ya chips mayai huyu jamaa muziki wake ni mnene!! Leo nilikuwa hapo uwanja wa taifa ktk game lohhh, nilichokiona sikutegemea ile atmosphere, peoplesss hijacked the stadium in a buzzing style!! Sorry makamba!!

gwajima akifa leo lowas hakuna atakaye tamani hata kumuona,
 
rais anayetegemea majini kuongoza nchi kamwe siwezi kumpa kura mpeni nyie misukule yake,llakini haitasaidia,

Hivi we mrembo wewe umejuaje kwamba ana anamajini kama nawe si mfugaji wa hiyo midude wewe ni ukawa kabisa wala sina shaka.

endelea kichokoza mada wadau wachangie
 
lowas anamambo mawili ambayo hayakubaliki hata mbele za mungu.
1,fisadi tena la karne maana tangu enzi
2,mafya ,ugonjwa wa mwakyembe
3,gwajima maigizo,

,taifa hili ni la mungu lowasa kamwe hawezi kuongoza nchi hii,
kwa Kuwa serikali ya ccm inaogopa kumfikisha mahakama kwa ufisadi wake,kwa Kuwa serikali ya ccm inashindwa kumtibia kupitia haki yake ya uwaziri Mkuu,sisi watanzania tunamtibia na kumhukumu kwa Kumpa Kura za ndiyo
 
Muulize Magufuri ufisadi alioufanya kwa kuuza nyumba za serikali kwa bei cheeee
Waulize rafiki zako pesa za Escrow zilikwenda wapi? Lowassa alikuwemo?
Mtamfitini sana baba wa watu ila mwisho ndo Rais wenu maana watanzania tushafanya maamuzi nayo ni kuiondoa ccm madarakani.
Now is the time for Change
viva Lowassa
Viva Ukawa
tukutane october 25
Tena hiyo skandali ya kuuza nyumba za serikali ndiyo inazidi kumtesa Magufuli.

Hata yule 'mamluki' wao Dr Slaa jana katika mahojiano na mtangazaji wa Star TV alijikuta ulimi wake ukiteleza na kukiri kuwa huyo Magufuli siyo clean 100% kwa kuwa anakabiliwa na kashfa ya kuuza nyumba za serikali kwa bei ya chee, mbaya zaidi Dr akajikuta anaropoka kwa kusema kuwa alizigawa bure nyumba nyingine kwa 'mademu' zake!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom