Jamani Lowassa ana "nyota"

Jamani Lowassa ana "nyota"

kwa kuwa serikali ya ccm inaogopa kumfikisha mahakama kwa ufisadi wake,kwa kuwa serikali ya ccm inashindwa kumtibia kupitia haki yake ya uwaziri mkuu,sisi watanzania tunamtibia na kumhukumu kwa kumpa kura za ndiyo

labda kama wewe ndo unatangaza mshindi saw lakini kama serikali ndo inatangza jiandae kupunzika kwenu,ili magufuli ampeleke lowasa na sumaye mahakamani,
 
mabadili kweli ya kueleza ilani dakika tano adi kumi,kunautofauti gani na mtoto wa form one akitoa morning speech,

hizo hizo zinatosha mkuu, Lowassa tunajua uchapakazi wake na msimamo wake hana haja ya kujieleza muda mrefu kama makomeo ambaye hajulikani sehemu yoyote zaidi ya highway alikosimamia ujenzi wa barabara mbovu.
 
tena hiyo skandali ya kuuza nyumba za serikali ndiyo inazidi kumtesa magufuli.

Hata yule 'mamluki' wao dr slaa jana katika mahojiano na mtangazaji wa star tv alijikuta ulimi wake ukiteleza na kukiri kuwa huyo magufuli siyo clean 100% kwa kuwa anakabiliwa na kashfa ya kuuza nyumba za serikali kwa bei ya chee, mbaya zaidi dr akajikuta anaropoka kwa kusema kuwa alizigawa bure nyumba nyingine kwa 'mademu' zake!

nyumba zipi mkuu ? Sumaye ataenda wapi ukisema magufuli kwenye nyumba,
 
nitampigia kura ya ndiyo EL na sitayumbishwa na yule padri muasi pamoja na kapumba; wala sihitaji maneno mengi kutoka kwa Ngoyai yaan hata akitabasamu tu inatosha kabisa
 
mabadili kweli ya kueleza ilani dakika tano adi kumi,kunautofauti gani na mtoto wa form one akitoa morning speech,

mkuu tumeshachoshwa na ngonjera za ccm tunahitaji vitu tofauti.ndo maana pamoja na Lowasa kuhutubia for 3 mins bado tunajaa nyomi
 
hizo hizo zinatosha mkuu, lowassa tunajua uchapakazi wake na msimamo wake hana haja ya kujieleza muda mrefu kama makomeo ambaye hajulikani sehemu yoyote zaidi ya highway alikosimamia ujenzi wa barabara mbovu.

uchapakazi upi mkuu,miaka 7 bungeni bubu,au gwajiama tayari ndo tayari kamaliza kazi nini? Unajua hamueleweki nyie,
 
Nimeangali "nyomi" ya watu waliohudhuria mkutano wa Lowassa huko Tabora kupitia ITV muda huu,sikuamini nilichokiona hasa ukizingatia mkoa wenye ni Tabora(ngome ya CCM).

Lowassa kama Mussa katika Biblia.

Mwenye picha atusaidie kuziweka hapa jukwaani.

Nilidhani nyomi zinaundwa na jumla Ya wakereketwa wa vyama vinavyounda ukawa kumbe wote wale ni wafuasi wa EL!!!
 
mkuu tumeshachoshwa na ngonjera za ccm tunahitaji vitu tofauti.ndo maana pamoja na lowasa kuhutubia for 3 mins bado tunajaa nyomi

nakuuliza ccm miaka 50
lowasa serikalini miaka 35

ulizia amefanya nini ambacho unakiona kila kona ya nchi hii,
 
haahaaa 85%??????????
tupe methodology ya tafiti yako na sample size.
usijipe moyo kwa mambo ya uongo dada..

Lowasa unawapa shida sana.

Mkuu.huo utafiti ulifanywa na uvccm na sample size ilikuwa watu 15 na kundi lililochaguliwa kwa ajili ya mahojiano ni familia ya kikwete (watu 12), Nchimbi, Serukamba na Mwigulu. Ndo maana walipata 85%.
 
labda kama wewe ndo unatangaza mshindi saw lakini kama serikali ndo inatangza jiandae kupunzika kwenu,ili magufuli ampeleke lowasa na sumaye mahakamani,
kwa hiyo unataka kusema serikali ina matokeo mkononi mpaka sasa? Du tarehe 25/10 mmeipanga kupiga Kura za nn sasa.

ccm inaangushwa na watu wenye akili ndogo kama wewe
 
hana nyota yoyote gwajima ndo anamsaidia lakini tutaomba usiku na mchana rais anaetengemea miujiza ya gwajima hautfai,

Mtaangaika sana kama mnataka kutaga, Mara anagawa hela mara picha zinatengenezwa mara miujiza ya Gwajima...mnalo hilo#Whitehair whitehouse#
 
nilidhani nyomi zinaundwa na jumla ya wakereketwa wa vyama vinavyounda ukawa kumbe wote wale ni wafuasi wa el!!!

nyomi ipi alikua hapa ludewa kilichomkuta hatakanyaga tena nyie leo mumeona hiyo sehemu ya tabora ndo mumechanganyikiwa,
piga simu huko ulizia population ya huko ili ujue unachokisema na hata hiyo bado ni nusu kwa nusu na magufuli maana ndo unaanza kanda,
 
vijiji vya wapi mkuu labda ya moshi na arusha ,nenda nyanda za juu kusini ,njoo kanda ya ziwa vijijini uone,unachekesha wewe,

Nenda sengerema kijiji kinaitwa irunda kingine ngoma usikie habari yao, mafuriko ya Lowassa hayazuiliki baba,ana nyota ya ajabu.
 
mtaangaika sana kama mnataka kutaga, mara anagawa hela mara picha zinatengenezwa mara miujiza ya gwajima...mnalo hilo#whitehair whitehouse#

atawasaidi kuongeza wabunge lakini amiri jeshi mkuu atasoma kwenye vyombo vya habari tu,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom