kuongea ndiyo nn kwako wewe ? Kama kuchonga ni dili basi kibajaji angekuwa katibu mkuu wa un !!
hivi unaweza kuandika kujibu mtihani kichwani hauna kitu?
Unaweza kuonge kitu usichokijua ? Elimu yako mkuu ni kiwango gani mkuu,
maana ninavyojua unaonge na kutenda kwa kile kilichoko kichwani sijui wew unaelewaje mkuu,