Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,255
- 88,201
Sasa mambo ya hotel inabidi muwe wawili wawili.
Sasa mambo ya hotel inabidi muwe wawili wawili.
Kwa heshima na taadhima naomba urudishe ile avatar. Huwa inanibariki sana.Wale walinzi wa pale kuna watu wamewawekea parking asee......tena wakikuona kidada dada full zengwe!...yaan ni wanataka rushwa kinguvu sipapendii!
Unauliza makofi polisi. Mimi+wewe=wawiliSasa mambo ya hotel inabidi muwe wawili wawili.
Hahahahaa. Basi imepita hiyoo. TutakwendaaaUnauliza makofi polisi. Mimi+wewe=wawili
Kuna bros zangu hapo nitawaambia wakupe kampani huwa sipendi kuingia anga zao.Wahenga ndo habare ya mjini.Rrondo akija hapa atasema naenda kudanga
Mugshot??
Yeah, imagine Uncle Juju kwa mugshot.
Na nilivyo jeusi kama kamera ya Nikon sasa teh teh teh!
Nitatisha watoto wa watu bure!
Hahahahaa. Basi imepita hiyoo. Tutakwendaaa
Good for you jirani!
Mi mwenyewe napanga kwenda on a cruise sometime next year.
I’ve got Punta Cana and/ or Negril on my mind.
Hii kitu naiota kwenye honeymoon yangu. Naomba,Mungu kabla hajaniita nipige ya at least 14 days...The Oasis itapendeza.Cruise is grrrweat!! I did the Bahamas last summer.
Wewe ukirudi tutakualika. Nina sehemu mbili zina msosi mtamu hatariii. Rudi kwanza nikupelekeHizo nyama mnaalikana wenyewe tu?
Uchoyo huo.
HahahKwa Mwamposa
Hii kitu naiota kwenye honeymoon yangu. Naomba,Mungu kabla hajaniita nipige ya at least 14 days...The Oasis itapendeza.
Yeah huwa naziona. Sema ukiwa bongo inabidi uzifuate karibu sana SAHalafu wala si expensive kivile.
Tena uki plan way ahead of time is even cheaper!
Achana na viwanja vya huko njoo Tabata 40 40 hautajuta
Aisee...nimekaa nimefikiria nimegundua sehemu nyingi nimezijua kwasababu ya michuchuWaaaaay overrated.
Ntaenda tu kama nikipata mchuchu mpya!
Mbele ya mchuchu mpya popote ntaenda! Hata iwe Mabwepande teh teh teh
Teh teh mzee Nyani Ngabu nakukatalia bwana 40 40 sio kiwanja cha mchezo mchezo bwana... Labda ni lini mara ya mwisho umehudhuria paleWaaaaay overrated.
Ntaenda tu kama nikipata mchuchu mpya!
Mbele ya mchuchu mpya popote ntaenda! Hata iwe Mabwepande teh teh teh