Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,833
- 141,159
Aisee...nimekaa nimefikiria nimegundua sehemu nyingi nimezijua kwasababu ya michuchu
Same here!
Sidhani kama kuna kona ya Dar ambayo sijaigusa kwa sababu ya wachuchu!
Nimewekeza katika wilaya zote za Dar!