Jamani leo Ijumaa bata wapi

Ndo nini hiyo bar hopping kwanza?

Iko hivi....unaenda na Debbie pale La Stanza. Mnakunywa mbili tatu mnaamua kuondoka. Mnaenda Tips kukutana na mmoja wa wale ‘learned sisters’. Baadaye mnatoka Tips mnaenda sijuii nini Dragon ile....

Mkitoka hapo mnapita 777. Baadaye mnaenda Jackie’s... mkichoka ndo kila mtu anatawanyika alikotokea.
 
Hii ratiba iko bien ,nimekubali
 
Iko hivi....unaenda na Debbie pale La Stanza. Mnakunywa mbili tatu mnaamua kuondoka. Mnaenda Tips kukutana na mmoja wa wale ‘learned sisters’. Baadaye mnatoka Tips mnaenda sijuii nini Dragon ile....

Mkitoka hapo mnapita 777. Baadaye mnaenda Jackie’s... mkichoka ndo kila mtu anatawanyika alikotokea.
Hahahaaaaa. Huna akili wewe. Umemuweka Debbie na Learned Sister naona . Btw niko Papi Chulo saa hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom