Jamani leo Ijumaa bata wapi

Jamani leo Ijumaa bata wapi

Waaaaay overrated.

Ntaenda tu kama nikipata mchuchu mpya!

Mbele ya mchuchu mpya popote ntaenda! Hata iwe Mabwepande teh teh teh
Teh teh mzee Nyani Ngabu nakukatalia bwana 40 40 sio kiwanja cha mchezo mchezo bwana... Labda ni lini mara ya mwisho umehudhuria pale
 
Nipo hapa 5N njoo, utakuta jamaa mrefu mweusi wa wastani, wanapochoma nyama ingia ndani kuna ka sofa ka kishkaji. Nimekaa nakula windhoek ukifika niambie mimi ndiye. Ntakuwepo hapa mpaka mida mibovu flani hivi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom