donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
hongera sana hapo hadi kukanyaga karimjee na joho si mchezo manake hicho chuo ni noumer.
Hongera mwaya.
That's harvest moment for you! You just harvest the crop you planted .
Congra too!
Congratulations! Please remember to keep your promise alive!
hongera kaka... lakini huo ndio mwazo wa kwenda mbele!
Hongera sana donlucchese
Hongera sana aisee. Unastahili hongera zaidi kwa kusoma ukiwa memkwa. Usiishie hapo. Phd ileee kama nakuona vile.